Hongera sana kwa kumpata mpenzi mpya unayempenda sana ila nikusihi tu nitaendelea kukaa Sub bila kuchoka hadi ambapo utamu wa penzi lenu jipya utapofifia πππ kwa kuwa nina uzoefu wa miaka mingi katika hii tasnia. Ikifikia hatua hio usione aibu we njoo upate liwazo π