Safi sana. Love is the greatest of all. Show him!Oukay.. Vizuri yuko na mtu sahihi kwake, hatojutia na mimi naamini sitajutia pia
Amen🥰🤗.. binti kiziwi nitakufata popote ulipo nichukue darasa kwako☺️That was a joke boss,nawaombea mfike mbali najua your old enough to keep him falling,ukitaka tips na nini mbinu za kumkoleza asiruke,kungwi huyu hapa binti kiziwi 🙋
HahahahahaMkifika pasaka sijui
Asante Sana🙏🙏, kila la kheri dada Maua.Kwanza unakiarusi Intelligent businessman ndio maana unadandia mambo
Hahahaha,Wee kuweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia
Shoo shoo Mamy KNyie hamjawahi kulichoka benchi.....full kucheck kuulizia namba avae jezi aingie uwanjani.....mna maana nyie?🤣🤣🤣🤣
Kama kutakua na gharama zozote Mimi nitalipa, furaha yangu kuona ustawi wa penzi hili jipyaAmen🥰🤗.. binti kiziwi nitakufata popote ulipo nichukue darasa kwako☺️
Huyo baba ni member wa Jf?? You're beautiful(I bet), intelligent, well behaved(your comments) and loyal. That man is so lucky.Bahati iliyoje.. Amen❤️🥰🙏
Kweli ningefurahi kukufahamuHebu njoo hapa Masae Garden,Kawe Tule kitimoto makange na Ugali
HahahahahaKweli ningefurahi kukufahamu
Mmm kumbe na wewe mdau wa show show check kama imo!Wee kuweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia😂😂😂
Sema ukweli bhanaaaHapana mkuu sio member wa Jf..
Thanks 🤗
Yayule aliyeigiza sita sita
Hapana Mrembo,mimi ni mtu tajiri hapa duniani. Naitwa Jeff Bezos. Labda umeifananisha hyo picha.Yayule aliyeigiza sita sita
😂😁We chalii unakoelekea ugonjwa wako tutaujua 🤣🤣chinga tayar yupo chini uangalizi wa madaktari wa mifugo
Ukiumaliza huu mwaka hujaja hapa kulialia utakuwa kweli umepata! Ila kaa ukijua cha kuazima hakisitiri matako! Yaani mimi ndiye wa kudanganywa hivyo na kuachwa kwenye mataa? Tutaona kama utafika mbali!!Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Jamani wewe😂😂😂.. tutafika mbali sana na hauta aminiUkiumaliza huu mwaka hujaja hapa kulialia utakuwa kweli umepata! Ila kaa ukijua cha kuazima hakisitiri matako! Yaani mimi ndiye wa kudanganywa hivyo na kuachwa kwenye mataa? Tutaona kama utafika mbali!!