Huyu anauguza majeraha itakua kashachezea chaga za mbavu hukoo, mtoto wa mama mkwe wake kamuachia manyoya πππSerious Lamomy Unakuwaga wapi jirani π€
ππππ Mi nakukumbusha tuUmeonekana leo na ghafla unatafuta ukorofi na masai wa watu
Huwa tamu sanaJamani wewe ππ
ππππ Muda ukifika utasema kwani tuna haraka basiiiNaomba isitokee.. Na ingekua yupo huu saizi ningekua napumulia mashine walahi maana sio kwa comments hiziππππ
ππππ Kaniachia manyoya kweli hapa natafuta pa kujichomeka haina kushangaaHuyu anauguza majeraha itakua kashachezea chaga za mbavu hukoo, mtoto wa mama mkwe wake kamuachia manyoya πππ
Huyo Ivan anabet tu hakuna lolote analolijua πππNa alivyo na hekaheka sanaππ.. Nilishammisi
Usisahau kunishtua muda ukifika πππKwakweli,, time will tell usπ
Hii week nilikuwa na kelele sana sema hukujua tu ππππTulimisi kelele zako kama hivi mda wote kicheko ππ
Sawa mkuu naomba kwenye uzi wa kilio usikose kunitagHahaha.. Wacha nikutandikie jamvi na godoro kabisa nikupe ulale
ππSasa nianze kuwazia mtu anaetaka kuchapisha uzi, kweli?
Atazipata baada ya chuma kwenda kwa hewaπ wacha niuze kilo moja ya dhahabu kwanza
Na ya nini uhangaike mwenyewe kujichomeka wakat niko hapa naweza kukuchomeka .πππππ Kaniachia manyoya kweli hapa natafuta pa kujichomeka haina kushangaa
Tunasonga mbele km injili
Kwa Sasa sitaki nishauriweπ€, single for life.Nilimwambia asile ye alikula akavimba akaja dushelele by alikiba Cc Intelligent businessman polee sana kaka ππππ