Hatimaye nimempata!

Unaweza usipendwe na mtu akakusitiri na akakuvumia, unaweza ukapendwa na asikusitiri na asikuvumilie
Dooh haya mambo ni mvurugano n hayana formula.

Muhimu ni kutafuta msukule wako mnaoendana mlisongeshe life
 
Good move
At least watakuacha waliokuwa wanakutaka kila kukicha, na nyie kwa huruma kila mmoja unataka umridhishe kwa maneno matamu ingawa huwapi 😄
Sasa umewapatia wazo 😄 wakuache sasa

Sijui nawaza nini
 
Really! How do you feel the happiness in upweke mkuu?
Wewe mwenyewe ndio unatengeneza harmonious feelings kwny kichwa chako,

Hakuna mtu awaye yote anaweza kukupa amani na utilivu, ni kitu unakitengeneza mwenyewe.

Kuingia kwny mahusiano ili kutafuta furaha na utulivu ni makosa.

Unatakiwa kuwa na furaha, amani na utulivu kwanza ndio uingie kwenye mahusiano. Hivi vitu havipatikani kwny mahusiano, vinapatikana kwny moyo na akili ya mtu.
 
Sasa yanatuhusu nn sisi mpaka ututa gazie? Una umri gani kwani maana hizi ni za teenagers kuwatangazi watu kuwa sasa umepata mpenzi! Tufanyeje sasa??
 
Hongera

Ni kijana wa jf?
 
Ngoja waje wale wa Mtaachana tu.
Kwani uongo? Umesahau Zuchu mpaka alitunga wimbo wa kuwananga watu eti MTASUBIRI SANA. Leo yamemshinda amejitoa mwenyewe kwa MONDI. Usichezee mapenzi bwn. Binadamu ni kiumbe mwenye kigeugeu sana. Leo unajitangazia umempata anayekufaa, kesho unarudi hapa unalialia umetendwa !! Hahahahaha .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…