Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,843
Hahaha sawa vizuriEti sikuona hili😃,, Pamoja na kile kipindi namzungusha na approaches zake now tunatimiza six months 😃
Alooooooh naona App inasaidia sana sema wanavizinga hao watu nauli zinaliwa kihasara hasara tu puuuuuuuh!Ujue ukiwa na uhakika wa kupiga hata utongoze ukataliwe utongoze ukubaliwe haishtui sana maana Haina madhara ila kuwa na genye qali ndo utajua hujui
Kwani lipoje labdaDooh pole sana
Kumbe hapo ndio unapofeli, huwezi pata furaha hukoAlooooooh naona App inasaidia sana sema wanavizinga hao watu nauli zinaliwa kihasara hasara tu puuuuuuuh!
Peace of mind, au happiness is from within. Hatupaswi kutegemea amani ama furaha kutoka kwa mpenzi.Mkuu mbona unanitisha tena😥😥.. Sikuwahi kua na furaha kama niliyonayo sasa for two years, imagine... Nilikua ni mtu wa kua alone kila mahali, nyumbani, kazini cause sio mtu wa kuvibe na marafiki sana.. But now najiona niko na peace of heart ty tofauti na mwanzo
Unapata amani na furahaKwani lipoje labda
Inatokea lkn nadra sana pia mda mwingine watu wanaweza kujipresent hvo wakaonekana wanapendana sana lkn deep down Kuna Moja ndo kapenda sana ila kwa sababu ya haiba ya kimalezi unakuta wanasitiriana hvoWapo wanaopata bahati ya kupendana wote, so wanaenjoyyy
Uku unapita nakuondoka tusijuane 😄😄Kumbe hapo ndio unapofeli, huwezi pata furaha huko
Kwani iyo amani yenyewe inasemaje mliowai kuipata mtwambieUnapata amani na furaha
Mwenye mpenzi wake kafika🌝Ni kweli kabisa my babe umenikosha sana sitokuangusha kama hao majuha waliokucheat before
Katika kusitiriana na kuvumiliana ndio real love iko hapo maana hamna mkamilifu n sio muda wote ndani itakua ni vicheko.Inatokea lkn nadra sana pia mda mwingine watu wanaweza kujipresent hvo wakaonekana wanapendana sana lkn deep down Kuna Moja ndo kapenda sana ila kwa sababu ya haiba ya kimalezi unakuta wanasitiriana hvo
Oukay,,, But for me better niwe kwenye mahusiano najiona nakua na utulivu wa mwili na akili, nikiwa alone napata shida sanaPeace of mind, au happiness is from within. Hatupaswi kutegemea amani ama furaha kutoka kwa mpenzi.
Hukuwa na furaha na amani kwa sababu unadhani upweke (solitude)ni kitu kibaya na tunatakiwa kuepukana nao.
Unadhani kwamba furaha inapatikana tu kwny mahusiano, kitu ambacho siyo kweli.
Unashangaa siku unakamatika huchomokiii😂Uku unapita nakuondoka tusijuane 😄😄
Aaaaah sio kwer aseee zimelegea izo.cjui zinatumika sana😄😄Unashangaa siku unakamatika huchomokiii😂
Unaweza usipendwe na mtu akakusitiri na akakuvumia, unaweza ukapendwa na asikusitiri na asikuvumilieKatika kusitiriana na kuvumiliana ndio real love iko hapo maana hamna mkamilifu n sio muda wote ndani itakua ni vicheko.
Mda uwe seriously unaambiwa mbn Leo sikuelew ndio na sitaki unielewe kabisaaa🤣🤣umekunja ndita balaaa kumbe una stress zako zakukosa pesa wanaume mtihani wetu ni mgumu mnoKatika kusitiriana na kuvumiliana ndio real love iko hapo maana hamna mkamilifu n sio muda wote ndani itakua ni vicheko.