Hatimaye nimempata!

Inamaana ulikua unaniektia kutoka kumwoyo uvungu wa moyo wako kua unanipenda Leo unadhihirisha kwa umma kua hunitaki tena 🤣
 
Angalizo usimpe mpaka ndoa
 
Wanaume hamjawahi kuchoka kukaa sub, imagine kuna mkaka ananitongoza toka 2019
Anasubiri ndoa iyumbe nikampe vya hasira

Kwenye hili nawaaminia
Unaruhusu vipi mtu akutongoze miaka 5 wakati upo kwenye ndoa? Hata wewe huna msimamo na unasema kabisa ndoa iyumbe ukampe vya hasira.
Ukiona kuna mtu anasubiria heri yoyote ikuondokee ili yeye atimize lengo lake huyo ndio shetani namba moja na umuweke kwenye list ya maadui wakubwa na ukiweza muombee mabaya ili kabla ya jambo lako kuyumba ayumbe yeye kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…