Hatimaye nimempata!

Hongera sana mdogo wangu wa faida
Mungu wetu wa mbinguni awe nguzo imara kwenye safari yenu hii ya mahusiano yako mapya wewe pamoja na mpenzi wako.
Muishi kwa kumpendeza Mungu, na kila kitu kitaenda kama kinavyotatikana.
Tunategemea mambo mazuri hivi karibuni.
Dada zako tupo, ishi kwa kujiamini.

Wale wazee wa kukesha pm kwa warembo kama nawaona wanavyosonya huko vibaruani kwao.

Nakupenda.
 
Asante kipenzi Carleen .. Hakika umebarikiwa hekima😍🥰🙏
 
Hadi nimetokwa na machozi😭😍, Asante kwa ushauri mzuri Madame B nakupenda sana😘🥰💕
 
Zidisha maombi tu ili mfike huko mnakotaka na.usisitize ndoa mbona hiyo ndio agano.
Ukiona hampo tayar kufunga ndoa basi kajiangalie tena kwenye kioo utagundua bado hamjapatana.
Ukipata mwanaume ambaye hayupo tayar kwa ndoa hata akupe Bombadier basi ujue wewewe ni kwa ajili ya matumizi ya wakati huo ila siku akilazimika kufunga ndoa basi wewe utaondolewa kwenye mfumo
 
Madame B liked your post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…