As you wish rafiki😃Hahahahahaha hayo mengine hapana kwa sasa
🤣😂😁 Huyu ni dada yangu Tena ni mdogo wangu wa mwishoCharles kilian ulikuwa wapi Kamanda wangu wakati hii Chombo inang’olewa jamani🤨
Wengine mnawaona kama vibuyuUzuri wa penzi jipya ni kile kichaa kinachofanya muone dunia nzima mpo wawili
🤣😂😁😁😁Tumuombee ili aponeNimesha mjua....😜
Hahahahahaha..As you wish rafiki😃
Nafurahi kuona kua sasa umenielewa nilicho maanisha,
😀
Mmenichekea tu hapo na hamjaweka vitu wazi nielewe..!!😂🤣😁😁
HahahahahahaWengine mnawaona kama vibuyu
Hongera sanaGood morning ma lovers,
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.
Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃 lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na Jumapili iliyo njema.
Kila la kheri na fanaka mkuu.Good morning ma lovers,

Unique Flower🤣😂😁😁😁Tumuombee ili apone
Church saa ngapi rafikiHahahahahaha..
Hua mnaanza hivyo hivyo.Kwa sababu ni dada yangu chukua hiyoooo Mkuu huyu ni dada yangu
Bado niko kwa Mangi ..Shetani kanipitia hahahahahahaChurch saa ngapi rafiki
Na tumezaliwa tumbo mojaHua mnaanza hivyo hivyo.
😀 😀
Duuh😂😂Bado niko kwa Mangi ..Shetani kanipitia hahahahahaha
Basi sawa,Na tumezaliwa tumbo moja
Niaje rafiki yangu Carleen uko poaMmenichekea tu hapo na hamjaweka vitu wazi nielewe..!!
Good morning ma lovers,