Hatimaye nimekamilisha vigezo vya kuoa!

Hatimaye nimekamilisha vigezo vya kuoa!

Hivi mwanamke alokwishwa bakwa(samahani,poleni sana dada zangu wapendwa) ana alama gani kwamfano ikiwa hajafunguka ya kwamba alibakwa maishani?!

We mleta mada acha porojo na kejeli kwa dada zetu, Mungu anakuona.

Halafu huu ujinga ujinga wa kujieleza kwa mapana na marefu umefunzwa na nani kuwa ndiyo vigezo vya kuwavutia watoto warembo wife material ndani ya JF??!
Aliyebakwa hata Mme wake anahisi mbakaji,
Siku wewe unataka mchezo yy hatak, uklazmisha atalia mpaka majiran wakuja! Saikolojia yake haijatulia
 
Aliyebakwa hata Mme wake anahisi mbakaji,
Siku wewe unataka mchezo yy hatak, uklazmisha atalia mpaka majiran wakuja! Saikolojia yake haijatulia
Aiseeh!
Kwahiyo ndiyo kusema mawazo na akili yako imegotea hapo kabisab?!!
Jiongeze mkuu, watakucheka watu...!
 
Only for single ladies!
Ndugu wana jf single ladies hatimaye sasa nimekamilisha vigezo vyote mhimu kama mwanaume mwenye uwezo Wa kulea mke na watoto kwa amani na upendo!
Single ladies, kwa sasa nimeona ni wakati mwafaka wa Mimi kuitwa baba mwenye mke sio kapera tena!
Nimependa nianzishe mahusiano ya kimapenz sasa na msichana anayependa maisha ya ndoa ili baadaye awe my wife forever!
Nimepambana, now tayar nimeshajitengeneza kuwa good father to be!
1.nilikuwa mbichi, sasa nimekomaa Nina 33 years! Naweza kumudu mke
2.nimezaliwa bush, sasa niko naishi jijini na nitaishi jijin na wife to be
3.nilikuwa mjinga tu, sasa mm ni degree holder, in economics & finance with honor! In recognized university (Tanzania) hii itasaidia kulea mke
4. Nilikuwa sina ajira, sasa nina ajira ya uhakika, mwanamke wangu hata pata shida hapa dunian nikiwa hai
5.nilikuwa maskini tu Wa kutupwa, sasa ninakipato cha kuweza kulisha familia yangu tarajiwa, average income perday elfu 80tsh,
6. Nilikuwa lilevi tu, sasa nilishaachana na ibilisi huo, sitak kuharbu afya na sumu ya alcohol!
7.kanisani nilikuwa siendi, sasa mm na Bible kanisani KKKT, nakemea roho chafu,
8. Nilikuwa mzinzi, sasa ibilisi huyo kashindwa! For Jesus name!
i9.nilikuwa napenda kupga story hovyohovyo na wanawake,sasa stak mazoea!
10. Nilikuwa sina Mali, sasa nna kiwanja dar, mbezi dhaman(7m) mwanza buswelu( 4m) vyote naviendeleza kwa kujenga nyumba za kuish, kamwe mke wangu hato ishi nyumba ya kupanga
11. Nilvaa kishalubaru, kwa sasa sahau
12.bado natembea bekubeku, , natarajia December nivute mkoko Wa 8m! Itategemea na ushaur Wa wife to be!
13. Nilikuwa na marafik wa kiboya, kwa sasa I hv only smart friends!
14.,nilikuwa sipend watoto, kwa sasa natamani sana
15. Nilikuwa dhaifu, now am strong man! Kumilki mke!
Single ladies
Mengineo yatabak sir yangu na mchumba wangu mtarajiwa,
don't worry god can do!
Mwanamke Mwenye sifa hizi anipm tuyajenge:
Sifa za mwanamke ninayemhtaji
1. Awe na umr kuanzia only 24 to 28 years!
2. Awe na elimu, diploma na kuendelea
3 awe mkristo, mcha mungu ila sio mlokole
4. Awe hajawah zaa mtoto wala kutoa mimba
5.awe saiz ya kat,mrefu kidogo asiwe mnene,
6.rangi maji ya kunde, mweusi tii staki,
7.awe hajawah kujichubua, kutoboa masikio au pua marambili, kuvaa kikuku, shanga kiunoni wala kubandika kucha za bandia,
8. Awe na makalio wastan! Sitak matako makubwa!
9. Asiwe kovu, au ngeu
10. Awe hajawahi kubakwa
11.awe hajawah kufungwa jela
12. Awe na malezi ya baba na mama yakitanzania
13.asiwe na hulka ya kiswali (pwani) Zanzibar yaani mswahili
14. Awe mpenda mafanikio makubwa
15. Awe na mapenz motomoto sio kama yakikurya!
Lad, My dearest welcome to the new lifestyle!
(Uchumba)

Doooh wee kiboko! Ngoja nikupe namba ya mwanakwaya wa kkkt
 
Single ladies na ka u handsome kapo kwa mbali msihofu!
Unaweza ukawa na vyote kumbe unaboa.Au unapenda kujiongelea Sana.Hata Kama Una kilakitu utabaki unajiuliza kwa nini wanawake hawakutaki.Haujaandika characters ambazo mwanamke Anataka kuona kwa mwanaume atakayemchukulia Kama mume.
We huoni wanawake wengine bado wanamudu kukaa na wanaume walevi? Au ambao hawaendi kanisani?

Mali inaweza ikawa factor ila how you make a woman feel is the major factor.I think kuandika nini utamfanyia huyo mwanamke na sio nini unacho.Ulichoandika ni muhimu ila sio kila kitu.

Mimi Kama mwanamke huwa siwazi eti kwasababu ya weupe au weusi au umbo au elimu ndio ntakuja kumfurahisha mwanaume.Mwanaume anaona akitafuta hela zaidi ndo mwanamke atampenda zaidi.kwamba mali=Mwanamke.Maybe.Ila Anyway,
minaona ungeandika vitu Kama,
Kuwa mume anayejali.Mume atakayeona umuhimu wa kulea watoto pamoja sio kulipa tu Ada Maana kutokana na qualities ulizotoa hiyo ndo Maana yake.
Utamheshimu mke wako sio kumpotezea au kumdharau.
Hutampiga mke wako.
Nk.

Mfano labda ukapata ajali au ugonjwa wowote terminal ukashindwa kufanya kazi,degree yako ikashindwa kukusaidia tena?
Au ikakubidi uuze hata hivyo viwanja viwili ili umudu matibabu?
Bado atakuwa at your side???

Anything can happen to anyone.
Kwa hiyo jua hizo qualities zako ulizoandika sjui handsome,unaenda kanisani na utanunua gari,nivitu ambavyo vinaweza vikakupa mwanamke wa kumweka ndani ila havi guarantee kuwa atakaa nawewe mambo yasipoenda vizuri.

Ndo ivyo mkuu,wanawake Ni viumbe complicated,we utaona ukipofika Ni perfection kabisa na mwanamke Lazima akukubali.Yani ulipoandika ulijua yani yes,this is it.
Kuoa utaoa.Ila unaweza pia ukabaki shocked na kujiuliza wanawake wanataka nini?[emoji16]

I'm just thinking out loud.
All the best in your quest[emoji4]

NB .Af baadhi ya wanaume sanasana mlioko at your twenties mnakuwa makauzu
Huku chuo eti mnatafuta degree ili mpate hela ndo muanze kuenjoy.Mnatiaga huruma,tafuta girlfriend saivi lasivyo utaishia kusaka Sana mke.watakaokuja Ni wale watakaoona Pesa zako.wengi wenu ndo mnakuja kuwa wachepukaji wazuri.Mnaishi maisha ya kuhonga honga Maana mlishajiwekea mentality ya Pesa kwanza.Kwahiyo unaona kuwa kilakitu kinanunulika.I'm soree.
Yani hawa wanaume hata kwenye kutongoza anakutajia elimu yake mali zake[emoji15]???Inasikitisha kwakweli.
### Maisha hayana formula.
 
Ha ha haa,dada umempiga ngeu,hawa ni wale wa kule hawana exposure ya vitu vingi ndio maana kujisifu saaana..
 
Hahaha haya bwana wenye hivyo vigezo na uvumilivu wa hizo sifa zako watakuja. Sasa kwa mfano mtu ana hivyo vigezo vyote ulivyo toa na wewe huna vigezo anavyo taka inakuwa je?

Asante Cherie neisha umemaliza kila kituuu ni mda sasa wanaume wajue nini thamani ya mwanamke. Pesa si kila kitu na haiwezi kufananishwa na mtu.
 
Hongera sana

-Ila katika hivyo vigezo, namba 4 utajuaje kama hajawahi kuzaa na kutoa mimba?

-Namba 3, umesema awe Mkristo ila sio Mlokole. Kwanini?
 
Back
Top Bottom