Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,381
kweli sana mkuu anatuchora
kweli sana mkuu anatuchora
vituko vipi sasa?? unaogopa kutaja jinsia yako..hujiamini auHahahahahhaaaaa
Hili jukwaa lina vituko sana
Hapana, huyo mtu nimemjua hapa wakati ananikaribisha kwenye hili jukwaaninamashaka hii ID's inaweza kuwa ya Joseverest
Aisee endelea kuwa na mashaka tuninamashaka hii ID's inaweza kuwa ya Joseverest
anhaa..ndio hivyo aisee mkuuvituko vipo, watu wnachekesha sana, nimekutana na uzi wa vichekesho kidogo nivunje mbavu
Karibu Jamvini mkuuHabari zenu wana JamiiForum,
Mimi ni mgeni katika hii media, ni matumaini yangu nitapata ushirikiano mzuri kwenye matumizi ya hii media kwa kunielekeza yote nisiyoyajua
Shukrani sana
Shukrani mkuu, kumbe watu wamefikia hadi hatua hiyo!Kuna matapeli wa viwango vya lami humu,kuwa makini jitu likikutokea pm kukuomba pesa kwa ahadi ya kurudisha kesho ujue hilo tapeli,kuna mmoja walinzi wa jf wamemkata vidole ashindwe kuandika ili asije kutapeli tena humu jf