Hatimaye nimejiunga JamiiForum

Mbona umemuandama sana akiwa mwanaume ama mwanamke hakuna tatizo wala hakuna ubaguzi humu mtandaoni JF,

Yeye amehitaji ukaribisho na ushirikiano wenu katika mtandao huu,
Na yeye pia ameahidi kujitambulisha baadaye akishajua vyema matumizi ya mtandao huu.
Shukrani kwa ufafanuzi ndugu
 
Tutumie kiingereza ndio ujibu au?? Mbona simple tu kusema KE au ME? au mkuu wewe ni sexless??(Ashakhum sio matusi)
Usijali ndugu, hata mimi mwenyewe hapa bado sijaanza kuulizia jinsia za watu japo nimefurahi sana kwa kunikaribisha vizuri kwenye hii media na ushirikiano nimeuona hadi sasa namna mambo yanavyoenda.

Usijali ndugu bado tupo mwanzo wa safari hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom