Hatimaye nimeipata picha yake

Hatimaye nimeipata picha yake

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
attachment.php
 

Attachments

  • 1414087867643.jpg
    1414087867643.jpg
    100.7 KB · Views: 2,134


...Nakala ya hati ya kusafiria
ya mrembo huyu ambayo
ilitolewa Februari 15, 200*
na muda wake wa kumaliza
kutumika ukiwa ni Februari
14, 20** yenye namba AB
2026** inaonesha mrembo huyu
ambaye pia anashikilia taji
la Kitongoji cha CGB
na Kanda ya TMK,
alizaliwa Mei 31, 1989. Pia
taarifa nyingine zinazoone
sha mrembo huyu ana miaka 25
ni zilizokuwa kwenye Taasisi
ya Explore Talent, ikimtaja
kwamba anaishi Dallas,
Texas, urefu wake ni 5'8,
umbo lake ni la kati, asili
yake ni Mwafrika na rangi ya
macho yake ni kahawia
.
 
Amezeeka lakini hayo MakauBel yake ni saa 6!
 
Back
Top Bottom