Hatimaye nimefanikiwa

Hatimaye nimefanikiwa

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,173
hatimaye nimefanikiwa kupost topic kwa mara ya kwanza hapa
 
haroooo afande mwita...karrrrribu sana hapa janvin.....mama rrrroda bado tu harrrrijaaaamka usingizin...yesu wangu!!
 
Minilivoona hiyo heading nikajua umefanikiwa kupata mke humu jamvini kumbe ni kupost... hongera afande Mwita na karibu sana, wafundishe Chacha,Wambura na Robi pia!!!
 
karibu sana Mwita, ujivue gamba kwa great thinkers. Waambie na akina chacha, marwa, kisiri na wengine wote waje humu.
 
Nadhani kuna ri-mwita ringine humu jamvini ritafute rikuonyeshe njia.
 
Karibu Mwita,
ila umekuja peke yako kwani Ghati umemuacha wapi?
au bado yupo kwa kina Marwa?
 
Saasa mura sime achapo huko huko,
Mang'ana mura!
 
Karibu Mwita! Karibu sana ingia na maratu muraa! hakuna tabu Mama Bhoke atafagia ukitoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom