- Thread starter
- #21
haiwezekan mkuuNipe no yake
haiwezekan mkuuNipe no yake
Sasa mkuu nakupaje no. yake wakat sikufahamu na nia yako siijuiNipe namba yake pm mkuu mie nnahitaji sana mwanamke wa dizain hyo nisaidie kaka niko chini ya miguu yako!!
Kwa nini sasa ulimkimbia kama hivyo?Kama Alidinywaaaa au hakudinywa ni juu yake maana mbunye si ni yake
Wengine tuna mioyo midogo mkuu ukiwaza njema iliyomzalisha bado ipo unakuwa unavuta pcha kama vile inamla tena
Tena huwa zinatumia vigezo vya kumuona mtoto
Hawajui walitendalo shoo,.tuwakumbuke kwenye maombi yetu.Kwahiyo mwanamke akiwa na mtoto kumuoa ni kosa kubwa eenh kwa nn mpo hivyo
Ameen shoo tuwakumbuke tuHawajui walitendalo shoo,.tuwakumbuke kwenye maombi yetu.
Subiri upate kijana, afikie umri wa kuoa, akuletee mchumba mwenye watoto wawili, by then utakuwa 50's au 60's huko, utatupa mrejesho my shem. Sio rahisi sana!!!Kwahiyo mwanamke akiwa na mtoto kumuoa ni kosa kubwa eenh kwa nn mpo hivyo
Ndo ipo ivo. Kwenye kabila yetu ni MWIKO kijana fresh kuoa mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine hata awe mzuri kama Malaika. Mwanamke aliyezalishwa anaolewa na mzee au mtu aliyefiwa mke!Kwahiyo mwanamke akiwa na mtoto kumuoa ni kosa kubwa eenh kwa nn mpo hivyo
Ayaaaaaah weeeee dah kwa mantiki hiyo ule utamu aliozungumzia saint ivunga hupati tenaMiezi kama sita iliyopita niliingia kweny mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja wa miaka kama mi4.
Ni mdada mmoja mzuri wa kiiraqw yupo 30s now kiukweli nakiri ni mzuri sana na nimtamu balaa na alinipenda sana hadi nilikuwa nashangaa huyo mshikaji aliyempa mimba akamkimbia alikosa nini?
Utata ulikuwa unakuja mie kanizid umri miaka miwili na ana mtoto, kiukweli hata home walikuwa hawanielewi kabsa kwamba kwa nini nataka kuoa mwanamke aliyezalishwa akaachwa japo sikuwah kumwambia kuhusu hilo.
Kingine jamaa lake lilianza kumtafuta eti linataka lije limuone mtoto japo yeye hataki hata kumsikia huyo jamaa.
Nimeachana naye baada ya kuona itakuja nicost siku za usoni kwahyo nimempasukia ukweli kwamb kwa hyo situation hatuwezi oana so awe huru akipata mwingine
Shemeji waache wanakosea sanaKwahiyo mwanamke akiwa na mtoto kumuoa ni kosa kubwa eenh kwa nn mpo hivyo
Bila shaka una mtoto Dada anguKwahiyo mwanamke akiwa na mtoto kumuoa ni kosa kubwa eenh kwa nn mpo hivyo
Nakaziamalaya mkubwa!
AhsanteeeKabla ya kuanza kupendana nae hukuyajua hayo? Hivi bado kuna watu wanapangiwa na watu wa "home" wapenzi wa kuwaoa?!
Wewe ni mtu usiyejiamini na huna maamuzi yako bali maisha yako yanapangwa na wengine,yaani una akili za kushikiwa!
Toa namba hiyo..kizuri kula na mwenziohaiwezekan mkuu
Dada sky umetype ukiwa bado na usingizi eeh?Kuna kijana skiing is kanisani na mdada mwenyezi watoto vwanne baba tofauti. Maisha ni kupanga na kupanga ni juchagua