Wapuuzi hao shunie wadada wa mjini nnaowajua miye walioolewa na watoto,restuta,joan,devotha chuwa,fina mango n.k tena wameolewa haswaa!!Kwahiyo mwanamke akiwa na mtoto kumuoa ni kosa kubwa eenh kwa nn mpo hivyo
Hongera kwa kufanya maamuzi magumu...... ungejifanya king'ang'anizi ungejuta maisha yako yote..... Single Mazaz sio watu wa mchezo mchezo..... Nasema hivyo kwasababu nina experience nao.....
Kwa kuwa hamkawii kupasha viporo motoKwahiyo mwanamke akiwa na mtoto kumuoa ni kosa kubwa eenh kwa nn mpo hivyo
Wanakera sana hawa viumbeWapuuzi hao shunie wadada wa mjini nnaowajua miye walioolewa na watoto,restuta,joan,devotha chuwa,fina mango n.k tena wameolewa haswaa!!
Wanajishaua tu hapa
Hamkawii kupasha kiporo motoHawajui walitendalo shoo,.tuwakumbuke kwenye maombi yetu.
[emoji23] hiki ni ki.............??Kuna kijana skiing is kanisani na mdada mwenyezi watoto vwanne baba tofauti. Maisha ni kupanga na kupanga ni juchagua
kuna mambo mawili yamemtatiza jamaaKwahiyo mwanamke akiwa na mtoto kumuoa ni kosa kubwa eenh kwa nn mpo hivyo
kuna mambo mawili yamemtatiza jamaa
cha kwanza familia cha pili huyo x kukomaaa kurudi ili kumuona mwanae hapa lazima uchapiwe tu
sijui kwa kweli ila nachojua tu kudate na single mom hupaswi kuwa na wivuX kumuona mwanae ni lazima halikwepeki kwani kumuona mwanae ndio kukulana
Ni wepesi sana kugawa papuchi, cjui kwann hawawezi kukataaHongera kwa kufanya maamuzi magumu...... ungejifanya king'ang'anizi ungejuta maisha yako yote..... Single Mazaz sio watu wa mchezo mchezo..... Nasema hivyo kwasababu nina experience nao.....
Swahiba upo?????? Long time no seeaisee
Ni Faiza?
mm mzima!majukumu!Swahiba upo?????? Long time no see
Pouwa...... Mchana mwemamm mzima!majukumu!
nawe piaPouwa...... Mchana mwema