Hatimaye nimeachana na single mom wangu

Hatimaye nimeachana na single mom wangu

Wabongo bwana ukisema umeacha watakusema na kejeri juu, na ukisema umeachwa pia utasemwa vilevile dah!
 
Miezi kama sita iliyopita niliingia kweny mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja wa miaka kama mi4.

Ni mdada mmoja mzuri wa kiiraqw yupo 30s now kiukweli nakiri ni mzuri sana na nimtamu balaa na alinipenda sana hadi nilikuwa nashangaa huyo mshikaji aliyempa mimba akamkimbia alikosa nini?

Utata ulikuwa unakuja mie kanizid umri miaka miwili na ana mtoto, kiukweli hata home walikuwa hawanielewi kabsa kwamba kwa nini nataka kuoa mwanamke aliyezalishwa akaachwa japo sikuwah kumwambia kuhusu hilo.

Kingine jamaa lake lilianza kumtafuta eti linataka lije limuone mtoto japo yeye hataki hata kumsikia huyo jamaa.

Nimeachana naye baada ya kuona itakuja nicost siku za usoni kwahyo nimempasukia ukweli kwamb kwa hyo situation hatuwezi oana so awe huru akipata mwingine
sasa hivi unaitwa single father[emoji3][emoji3]
 
vijana msio na watoto kamwe msioe single mamas,hao waachieni wazee wenu na waliofiwa na wake zao.

ya nini kula mizoga wakati nyama fresh ipo.
 
Miezi kama sita iliyopita niliingia kweny mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja wa miaka kama mi4.

Ni mdada mmoja mzuri wa kiiraqw yupo 30s now kiukweli nakiri ni mzuri sana na nimtamu balaa na alinipenda sana hadi nilikuwa nashangaa huyo mshikaji aliyempa mimba akamkimbia alikosa nini?

Utata ulikuwa unakuja mie kanizid umri miaka miwili na ana mtoto, kiukweli hata home walikuwa hawanielewi kabsa kwamba kwa nini nataka kuoa mwanamke aliyezalishwa akaachwa japo sikuwah kumwambia kuhusu hilo.

Kingine jamaa lake lilianza kumtafuta eti linataka lije limuone mtoto japo yeye hataki hata kumsikia huyo jamaa.

Nimeachana naye baada ya kuona itakuja nicost siku za usoni kwahyo nimempasukia ukweli kwamb kwa hyo situation hatuwezi oana so awe huru akipata mwingine
Me wangu nimemuacha kisa ni parasite, hana faida yeyote zaidi ya kuninyonya nilichonacho
 
Pongezi mi nilishawahi kukutana nalo limoja lenyewe linawaza baa. Tena anakuja na marafiki zake (commitee)
 
Back
Top Bottom