Unakosea, na haitotokea huyu jamaa ana matatizo yake miaka 6 sasa zikimpanda anacharuka zinatulia anacharuka tena nimeshamzoea na kumdharau.Mkuu tunatofautiana mbinu za kutongoza.. Hapo waachie wenyewe kesho huyo wakike anaweza kuanzisha mada na kusema "Ilove u more ......"Wanapoelekea tumeshapajua tunabaki kucheka Hihihihi
Braza ni wewe kweli?
Hizo nguvu zitumie kubadilisha sofa za pale kwenu.. Sofa kuu kuu zilizochanika chanika sio kugombana na wanawake humu..[emoji817]%.
Anybody can get it...Mtoto wa kiume kupigana mikwara na girl ni ushamba wa hali ya juu.
Mwanamke anabembelezwa au anakaushiwa,sio mikwara mikwara...Shubaaamit
Kuna Eric na Clevary..Mbona majina ya katikati ya wenzake wote ni ya kike...!
Inamaana ktk darasa lake hilo yeye tu ndie wakiume...!
Mshaanza. Maana watoto wa mjini mnapenda kazi ya usalamausalama huyo
Mimi naitwa Steve mayala mtoto Wa shangaz Yangu anaitwa pascal mayala wala siyo huyu Wa humu jf haya majina usukaman ni meng sanaAkina pascal mayala wapo wengi, nakumbuka A -level nilisoma na jamaa mmoja alikuwa anaitwa pascal mayala, vile vile huku usukumani hiyo combination ni very common ’
inaonekana unamahaba sana ya kutaka kunifahamu vizuri mimi ni nani.
njoo PM, utanifahamu vizuri na pengine naweza nikakuajiri.
Mshaanza. Maana watoto wa mjini mnapenda kazi ya usalama
Zilikuwepo enzi hizo. Ila kukiwa na uhakiki wa majina, mhitimu hapa ni Pascal Mayala na si Pascal Mayalla wa JF.Udsm hakuna registration number ka hiyo
Ndo za miaka yetu zile, wakongwe tunazielewaDah! Hiyo registration number yake sijaielewa. Aliyeielewa, anieleweshe.
Umenikumbusha chuo kuna mkaka tangu naanza chuo hadi namaliza katika kipindi cha miaka mitatu yeye kila mwaka anarudia..ukimuona kama tahaira. ..anajichekesha ovyoovyo..anaweza kuwakuta mnasoma anawaimbia mabata madogomadogoWakati nasoma kuna mdada nlimburutaburuta mpaka akagraduate alikuwa na miaka 4 anasotea degree yake alishakata tamaa, kuna wengine wapo chuoni wao kila mwaka wanarudia wanahairisha kwa sababu za hovyo hovyo tetesi wakawa wanasema wapo vyuoni kwa kazi maalum wakimaliza kazi yao watagraduate huenda Paskali huyu mmojawapo.
Umenikumbusha chuo kuna mkaka tangu naanza chuo hadi namaliza katika kipindi cha miaka mitatu yeye kila mwaka anarudia..ukimuona kama tahaira. ..anajichekesha ovyoovyo..anaweza kuwakuta mnasoma anawaimbia mabata madogomadogo
Ila yote Tisa alikua anakuja kuchukuliwa na ndinga la maana na kufunguliwa mlango kiunyenyekevu mno
Wengine walikua wanasema anajifanyisha..wengine waliokua wanamjua wanasema amesoma sana south na ana Elimu kubwa cha kushangaza pale chuo kila mwaka mrudiaji
Hadi namaliza chuo sikumuelewa yule mkaka vizuri