Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala amehitimu UDSM

Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala amehitimu UDSM

Wakati nasoma kuna mdada nlimburutaburuta mpaka akagraduate alikuwa na miaka 4 anasotea degree yake alishakata tamaa, kuna wengine wapo chuoni wao kila mwaka wanarudia wanahairisha kwa sababu za hovyo hovyo tetesi wakawa wanasema wapo vyuoni kwa kazi maalum wakimaliza kazi yao watagraduate huenda Paskali huyu mmojawapo.
vyoyote itakavyokuwa, ila mimi kwa upande wangu watu wanaopenda sana kupoteza mda mwingi vyuoni kujiendeleza kielimu huwa nawachukulia kama wana matatizo fulani ya kisaikolojia. hawapo sawa wale. we wachunguze vizuri utabaini kitu.
 
Naamini akati yeye anapoteza iyo 15yrs wewe ulikuwa unafanya ujasiriamali ni vyema ukatuonesha viwanda/kiwanda chako mkuu.

tatizo la watanzania ni kutoa ushauri ambao hata wao hawawezi utekeleza.
inaonekana unamahaba sana ya kutaka kunifahamu vizuri mimi ni nani.

njoo PM, utanifahamu vizuri na pengine naweza nikakuajiri.
 
angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.

shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.

ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Nakuunga mkono 100%
That is what enlightment means!I'm very pathetic to live in this time where most of us(Tanzanians) believe on Education to have better sustainable life.What i mean is it prepares the so called well trained people(Bookish oriented) and not well educated people!!However,education has played a vital&significant role in changing the globe positively!!!
 
Siku zote nilikuwa nikidought na uelewa wa huyu jamaa. Nilishaleta maada hapa ya kujua CV ya huyu jamaa. Ila niliambiwa msomi wa sheria sijui nini sijiu nini. Anyway hongera bana. Sasa upanue fikra acha danganya danganya
 
Nakuunga mkono 100%
That is what enlightment means!I'm very pathetic to live in this time where most of us(Tanzanians) believe on Education to have better sustainable life.Bookish oriented
Only stupid and un-matured person can argue this way. Watanzania tuna kazi sana infact kuna baadhi ya kizazi kipo zama za mawe
 
Wakati nasoma kuna mdada nlimburutaburuta mpaka akagraduate alikuwa na miaka 4 anasotea degree yake alishakata tamaa, kuna wengine wapo chuoni wao kila mwaka wanarudia wanahairisha kwa sababu za hovyo hovyo tetesi wakawa wanasema wapo vyuoni kwa kazi maalum wakimaliza kazi yao watagraduate huenda Paskali huyu mmojawapo.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hili. Elimu sio kwa watu wote
 
Nakuunga mkono 100%
That is what enlightment means!I'm very pathetic to live in this time where most of us(Tanzanians) believe on Education to have better sustainable life.Bookish oriented
asante kwa post yako ndg.
kuna baadhi ya waswahili wananipinga....they believe when someone spends too much time in universities taking degrees, he/she will have a better life in end....very stupid mentality ofcos.

angalia historia ya watu waliofanya vitu vyenye impact kubwa kwa maisha ya wanadamu. wengi wao walikuwa na elimu ya kawaida tu na wala hawakupoteza miaka mingi vyuoni.
 
Wakati nasoma kuna mdada nlimburutaburuta mpaka akagraduate alikuwa na miaka 4 anasotea degree yake alishakata tamaa, kuna wengine wapo chuoni wao kila mwaka wanarudia wanahairisha kwa sababu za hovyo hovyo tetesi wakawa wanasema wapo vyuoni kwa kazi maalum wakimaliza kazi yao watagraduate huenda Paskali huyu mmojawapo.
Who knows kwamba yeye si miongoni mwao?

Kama Mwenye Jina hilo ndiye Huyu Pascal wa Jf tunampongeza kwa kuhitimu.

Ila hakika niliyo nayo kama ni huyu wa humu hiyo aliamua kusoma tu ili kujiongezea hazina ya digirii zake kwa manufaa yake binafsi.
 
angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.

shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.

ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Ukiidharau elimu kama unavyofanya ni tatizo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom