Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala amehitimu UDSM

Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala amehitimu UDSM

angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.

shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.

ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Wewe una viwanda vingapi na umeajili watu wangapi?
 
au na yeye kama Ndg. Mtatiro amesoma UDSM akiitimu digirii moja ana anza kusoma nyingine... ana rundika madigirii ndani...
 
Ukiidharau elimu kama unavyofanya ni tatizo kubwa sana.

sijadharau elimu,naiheshimu sana.
shida yangu ni kupoteza miaka mingi kutafuta hiyo elimu.

imagine jamaa tunayemjadili hapa kapoteza takribani miaka 15 (2003-2018) kutafuta shahada moja.

kwangu mimi huko si kutafuta elimu, ni kutafuta ujinga. pardon my french.
 
Siku zote nilikuwa nikidought na uelewa wa huyu jamaa. Nilishaleta maada hapa ya kujua CV ya huyu jamaa. Ila niliambiwa msomi wa sheria sijui nini sijiu nini. Anyway hongera bana. Sasa upanue fikra acha danganya danganya
Wewe ndio mwenye uelewa mdogo, elimu ya darasani haina uhusiano wowote na akili.

Nenda kakae meza moja na Bakhresa ambaye hajamaliza primary school halafu ndio utaelewa kati ya cv zako na Bakhresa nani mwenye akili nyingi.
 
huo ni mwaka ambao amemaliza Form 6, UD ndio mchezo wao huo...

kama umemaliza form 6 say mwaka 2012, ukaenda ud leo hii , reg yako itaanza na 2012 - miaka ya kozi - namba yako
kwa hiyo ndg. pascal mayala kamaliza form six mwaka 2003?
 
Inakuwaje ana ID ya mwaka 2003 amekuja kumaliza 2018? Au alipostipone?
Pasco alidisco UDSM na hajawahi kuficha hilo yuko wazi, na kwa sisi tunaozijuwa figisu utatuka aliferishwa tu, hizo ni Academic papers tu, Pasco ana uwezo mkubwa na akili kubwa kuliko hata hao walimu wake wa UDSM.

Ndio maana wazungu wakifunguwa kampuni zao Tanzania hawajari hayo makaradi yenu mnayoyaita certificate wao wanajali IQ ya mtu na ujuzi wako tu basi.
 
sijadharau elimu,naiheshimu sana.
shida yangu ni kupoteza miaka mingi kutafuta hiyo elimu.

imagine jamaa tunayemjadili hapa kapoteza takribani miaka 15 (2003-2018) kutafuta shahada moja.

kwangu mimi huko si kutafuta elimu, ni kutafuta ujinga. pardon my french.
Mkuu nimekuelewa, ila jua kuwa alikuwa anaendelea na shuguli zake. Ila pia kuna watu wao kwao mafanikio ni kupata elimu na ikiwezekana mpaka shahada ya 3.
 
Wewe ndio mwenye uelewa mdogo, elimu ya darasani haina uhusiano wowote na akili.

Nenda kakae meza moja na Bakhresa ambaye hajamaliza primary school halafu ndio utaelewa kati ya cv zako na Bakhresa nani mwenye akili nyingi.
Wewe ndo mbwiga kweli. Akili sio pesa. Im talking about the power of reasoning....
 
Back
Top Bottom