Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Eeeeh jumapili yangu naona inaenda Murua kabisa .Hizo nguvu zitumie kubadilisha sofa za pale kwenu.. Sofa kuu kuu zilizochanika chanika sio kugombana na wanawake humu..
Nimecheka sana ulivyokuwa mnamnanga Msando kana kwamba unafikia level zake. Kumbe we ni hoe hae tu unashindia kupanda Bajaj na uber ukirudi bongo teh teh teh..
Piga picha hizo streets za ATL unakofanya kazi za kutunza vikongwe teh teh
