Hatimaye ndoto zake zatimia

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,029
Ni Binti aliyetaka Sana kusoma.Alikuwa na shauku kubwa ya kufika elimu ngazi za juu na alipagania Sana shauku yake mpaka akafikia kiwango Cha elimu alichokitaka Cha Masters.

Na kamaliza sasa hiyo Masters akiwa na umri wa Miaka 36.Ambahatika pia kujaliwa kazi tu baada ya kumaliza Masters yake na analipwa mshahara mzuri sana wa sh milioni 7.

Baada ya kupata kazi muda ukasonga na akawa anafurahia Sana maisha yake maana Kila alichokitaka alikipata Kwa kuwa pesa anazo.Hapo ndipo wazo la kuwa na familia likaja.Akiangalia wenzake wote tayari walishaolewa na Wana watoto wanne au watatu.

Akawa anatafuta sasa namna ya kumpata lakini anataka mume mwenye vigezo hivi;

1 Awe ana mshahara mkubwa zaidi yake

2 Awe mwaminifu

Miaka imepita na Bado hajawahi pata wa kumwoa anaishia kutoka na vibenten vya kumpelekea mtoto.

Wanaume wenyewe hawana time na yeye wanamwona ni kama kaolewa tayari maana anaonekana kakomaa.

Sasahivi anafikiria basi apate japo kamtoto tu hata kama kakosa mume.Wazo hili la kupata mtoto limekuja akiwa na Miaka 39 lakini katika harakati za kupata mtoto kagundua Hana uwezo wa kupata mtoto maana hata haoni siku za...

ANGALIZO WANAWAKE ELIMU SIO CHANZO CHA FURAHA KATIKA NDOA WAHI KUOLEWA MAISHA MAFUPI
 
Aloooooooo .

Katika suala ambalo hutakiwi kulifanyia mzaha ni kutafuta mtoto au watoto maana huna garantii na haya maisha wala hijasainishana mkataba na mungu juu ya afya yako.

Mwanamke at any time t unaweza pata vikwazo vitakavyokufanya usipate mtoto milele

Halikadhalika kwa mwanaume napo ni hivohivo.

Muhimu hakikisha unapata mtoto as soon as possible.
 
Back
Top Bottom