Hatimaye na Mimi yamenikuta

Mshukuru Mungu umeujua uhalisia wa huyo mkeo. Hilo tu latosha.
 
Asante Mkuu.
Ila unapochepuka maana yake tayari haumuheshimu mwenza wako.

Mfano huo mchepuko wa mke, shemeji zako, rafiki zako, jirani zako wakijua mkeo anachepuka unadhani utaheshimika? na Vise versa.

Na wanawake wana udhaifu mkubwa wa kutokutunza Siri Kwa wanaolala nao. Huyo mchepuko atakujua nje ndani mpaka udhaifu wako yaani Mambo yako yote ataambiwa.

Ni hatari Sana.
 
Uligunduaje anachepuka?? Kimsingi wanandoa wengi inaaminika wanachepuka wote wake kwa waume isipokuwa tu wanafanya kwa siri ila watu wapembeni wanajua ila hawakwambii na yeye pia hawamwambii. Hivyo ni kuomba tu usijue ukishajua uamue uendelee nae au utafute mwingine.

Nadhani huko majuu ndio maana kina will smith na mkewe wameruhusiana kila mmoja kutoka na mtu mwingine anaemtaka. Ni hulka ya binadamu kupenda kitu kipya na cha tofauti.

Kwa hali ya dunia inapoeleka ya utandawazi huko baadae ndoa zitakuwa chache sana au za mkataba.

Wewe tafuta mwingine maisha yaendelee wako zaidi ya bilioni 3.
 
Mkuu kwanza hongera kwa huo.ujasiri wa kukubali yaishe. Huo ndio uamuzi.sahihi kwanini ujipe tabu tupu ikiwa hana mapenzi kwako.na hakuheshimu. Kumuacha kwa utulivu huo atapata tabu yeye na sio wewe life iendeleee
 
Mbona hivo mnatukatisha tamaa sisi ambao hatujaoa, sometime muwe mnatupa mambo mazuri yanayopatikana kwenye ndoa na sio story ya kukatishana tamaa,
Mshukuru mtu anayekujulisha kuwa njia hii kuna wanyama hatari maana either utakwenda kwa tahadhari au kutopita kabisa njia hiyo.
 
Usingepeleka hasira mbele kwanza, ungepanga team jamaa afirike na halafu mke anapewa talaka inakuwa imeisha..
Walianza kishetani na wewe ungepeleka kishetani shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…