Hatimaye na Mimi yamenikuta

Pole sana kaka![emoji10][emoji10]duhhh!
 
Uchumi, Umalaya wa mwanaume( mke kutaka kulipiza), Ukimwi( hasa kama umeletwa na mme) hizo ndizo sababu za wanawake walioko kwenye ndoa kuchepuka.
 
Haya wewe ukioa utakuja kunikumbuka kwa hicho nilichoandika

Mkuu hio kitu sio hadi nioe,,,hata hapa nilipo sikubaliani na hio kauli ya hovyo....na nina eperience ya wanawake kwa 20 years with more than 63+ relationship...

kauli za hovyo sana hizo,,, excuse za hovyo kabisa...hasa zikitoka mdomoni mwa mwanaume
 
Ukweli ni kwamba hili janga lipo kwenye ndoa nyingi na tusione kwamba huyu dogo ndiye limemkumba peke yake, no waathirika ni wengi na hili janga la usaliti linatesa ndoa nyingi. Ndoa nyingi mke hashiki simu ya mume na mume hashiki simu ya mke na wanafanya hivyo kwa makubaliano ili kuhofia kugunduana usaliti ili ndoa isije kuvunjika. Na mtu kama huyo anakuja hapa jukwaani kumsema dogo kumbe hata ndani ya ndoa yake anajua sio salama.
 
Pole mkuu

Ndoa Ina mambo maZito ,
 
Jiboreshe zaidi kiafya kimuonekano n.k

Tafuta hela zaidi

Usilipize kisasi kitachokufanya ufanane na hao wazinzi

Muachie Mungu

Mkuu utanawiri huyo mke wako atajuta.
 
Mkuu hio kitu sio hadi nioe,,,hata hapa nilipo sikubaliani na hio kauli ya hovyo....na nina eperience ya wanawake kwa 20 years with more than 63+ relationship...

kauli za hovyo sana hizo,,, excuse za hovyo kabisa...hasa zikitoka mdomoni mwa mwanaume
Subiri tu utayaona
 
Pole sana.
Hilo limekukuta kukufanya uwe imara zaidi. Mungu yupo nawe.
 
Mwanamke mcha mungu aliyekwenye ndoa hawezi kuzini kamwe, anaweza kuwa mchoyo na hata mgombanishi....

But sio uzinzi
 
Mwanamke mcha mungu aliyekwenye ndoa hawezi kuzini kamwe, anaweza kuwa mchoyo na hata mgombanishi....

But sio uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…