dahngoja niende nmb nikatop up nahisi kuna dalili za kutumbuliwa
Asante kwa marekebisho mkuuumma
Si una haraka ya kwenda TPB ndio maana ukakosea spelling, hahahahahaahahahahaah.Asante kwa marekebisho mkuu
Kumbe ni tatizo la kila mahali! hivi hawa Hazina ina maana hata kuandaa salary slip nazo ni shida! ki kawaida inatakiwa mtumishi apate salary slip kabla ya mshahara ili ajue amekatwa nini au ameongezwa nini, kwa kifupi ajue mshahara wake wa mwezi husikabut salary slip hazipatikani
Habari zenu wakuu,ningependa kuchukua fulsa hii kuwataarifu kuwa mabenk yameanza kutoa tena mikopo kwa watumishi wa umaa,leo nimepokea msg kutoka bank ya Posta ambako nilisubmit maombi ya mkopo tangia mwezi wa tisa kuwa niende bank kurekebisha vitu flan ili nipewe mpunga wangu...lkn pia muda huu katika matembezi yangu nilipitia katika tawi moja la benk ya NMB niukakuta tangazo kuwa mikopo imeanza tena kutolewa kwa riba ile ile ya asilimia 14.kwahiyo ni muda wenu wa kwenda kukopa.
onyo:hakikisha unazitumia pesa za mkopo vizuri ili usije kulia baadae pindi watakapoanza kukata hela zao.
walishatoa KANUSHOANGALIA ENDAPO KAMA UNA DENI LA BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU ELEWA HUWEZI KUPEWA HADI UMALIZE DENI LAO.
Mkuu ili iweje sasaNgoja nikakope kuna Demu ananisumbua sana
Walikanusha hilo mkuu.ANGALIA ENDAPO KAMA UNA DENI LA BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU ELEWA HUWEZI KUPEWA HADI UMALIZE DENI LAO.
Amekosea nahisi riba ni 18% na ndio the lowest katika mabenki.14% ya riba? ar you serious??
Walikanusha hilo mkuu.
Au kuna agizo/waraka mpya?