Hatimaye mikopo yaanza kutolewa kwa watumishi wa umma

Rodney01

JF-Expert Member
May 14, 2013
754
1,000
Habari zenu wakuu,ningependa kuchukua fulsa hii kuwataarifu kuwa mabenk yameanza kutoa tena mikopo kwa watumishi wa umaa,leo nimepokea msg kutoka bank ya Posta ambako nilisubmit maombi ya mkopo tangia mwezi wa tisa kuwa niende bank kurekebisha vitu flan ili nipewe mpunga wangu...lkn pia muda huu katika matembezi yangu nilipitia katika tawi moja la benk ya NMB niukakuta tangazo kuwa mikopo imeanza tena kutolewa kwa riba ile ile ya asilimia 14.kwahiyo ni muda wenu wa kwenda kukopa.

onyo:hakikisha unazitumia pesa za mkopo vizuri ili usije kulia baadae pindi watakapoanza kukata hela zao.
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,886
2,000
but salary slip hazipatikani
Kumbe ni tatizo la kila mahali! hivi hawa Hazina ina maana hata kuandaa salary slip nazo ni shida! ki kawaida inatakiwa mtumishi apate salary slip kabla ya mshahara ili ajue amekatwa nini au ameongezwa nini, kwa kifupi ajue mshahara wake wa mwezi husika
 
mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,431
2,000
Habari zenu wakuu,ningependa kuchukua fulsa hii kuwataarifu kuwa mabenk yameanza kutoa tena mikopo kwa watumishi wa umaa,leo nimepokea msg kutoka bank ya Posta ambako nilisubmit maombi ya mkopo tangia mwezi wa tisa kuwa niende bank kurekebisha vitu flan ili nipewe mpunga wangu...lkn pia muda huu katika matembezi yangu nilipitia katika tawi moja la benk ya NMB niukakuta tangazo kuwa mikopo imeanza tena kutolewa kwa riba ile ile ya asilimia 14.kwahiyo ni muda wenu wa kwenda kukopa.

onyo:hakikisha unazitumia pesa za mkopo vizuri ili usije kulia baadae pindi watakapoanza kukata hela zao.
ANGALIA ENDAPO KAMA UNA DENI LA BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU ELEWA HUWEZI KUPEWA HADI UMALIZE DENI LAO.
 
kukumega

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
1,134
1,500
Riba asilimia 14 NMB ya kweli hayo? Maana ilikua asilimia 21 mwezi wa saba na mwezi wa nane.
 
mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,431
2,000
Walikanusha hilo mkuu.
Au kuna agizo/waraka mpya?
Tatizo la serikali yetu kila mtu akilala anafikiria kesho akatoe tamko gani ili naye aonekane kuwa yupo busy. Maamuzi kawaida ni baada ya makubaliano katika kikao cha wahusika ili wote mnakuwa na jibu moja na utekelezaji wake unakuwa na ufanisai.

lakini leo mmooja atasema hili kesho mwingie anakanusha lililoongelewa jana!!!!!!!!!!!

ndio maana huwa kuna msemaji mkuu na sio kila mtu anafanya maamuzi yake.

Mfano kuna kiongozi mmoja alitoa tamko kuhusu wafanyabiashara ndogondogo maeneo yasiyo rasmi mfano pembeni yabarabara. Wakai watendaji wanatekeleza hili akaibuka mwingine na kusema waacheni waendelee msiwafukuze!!!!!!!!!!!! Hapa napata kigugumizi mwenye mamlaka ya kutoa maamko ni nani katika serikali hii ya awamu ya tano.

Na mimi ninataka kesho nikatoe tamko katika vyombo vya habari kuwa MWAKA HUU HAKUNA KUSHEREHEKEA KRISMASS NA MWAKA MPYA!!!!!!!!!!! NITASEMA SABABU NI ZA KIUSALAMA.

NAJUA WATENDAJI WATATEKELEZA TU NA KUPIGA MARUFUKU.

Kwa sababu kila mtu anaweza kutoa tamko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom