Hatimaye mikia fc wameweza kuchukua ubingwa bila mbeleko

hizi zilikuwa enzi za mbeleko

yaani hadi kombe lina rangi ya wananchi wabebaji wana rangi ya mikia
.
JamiiForums2112920490.jpg
 
Ndani ya miaka sita iliyopita mikia fc na yanga african wameweza kuchukua bingwa wa vpl kwa kila mmoja kuchukua mara tatu mfululizo

Tofauti na yanga waliochukua ubingwa back to back kwa uwezo mkubwa wale wenzao upande wa pili walichukua ubingwa mara mbili mfululizo kwa kusaidiwa na penat za utata na magoli ya off side ambayo ni fedheha kama ulipata kuyaangalia

Angalau mwaka huu mikia wameweza kuchukua ubingwa bila skendo

Hongera kwenu mikia fc ndani ya miaka mitatu mwaka huu nasema wazi mmestahili

Ila pamoja na yote ligi ya msimu huu utamu haswa ulikuwa dakika ya 44 uwanja wa taifa tar.8/3/2020 mbele ya raisi wa nchi na raisi wa Caf, Raha tuliyopata wanajangwani imepoza machungu yote ya kukaa miaka mitatu bila kuinua kwapa

View attachment 1492429View attachment 1492429

Daima mbele nyuma mwiko
......Huyo aishi manula anadaka kama nyani........shiboub na pasi za mikogo huku kahata anasambaza wanaupataaaaaaaaa........
 
wakati tabwe anafunga magoli ya mkono na Ali ali akicheza na yanga tu anajifunga mlikuwa kimya hivi iliwai tokea wapi mpira upo ndani ya nyavu kisha refa anasema kona
 
sie tunabebwa ila nyie mnazidi kaah!afu hamna hata haya mnafurahia tu kucheza mkiwa 12 uwanjani
 
na mimi mshabiki wa mashetani ya chikundi nawapongeza na muendelee kwa miaka 10 ijayo kama mlivyomfungaga mtani wenu kwa miaka saba mfululizo
Te amo simba
 
Ndani ya miaka sita iliyopita mikia fc na yanga african wameweza kuchukua bingwa wa vpl kwa kila mmoja kuchukua mara tatu mfululizo

Tofauti na yanga waliochukua ubingwa back to back kwa uwezo mkubwa wale wenzao upande wa pili walichukua ubingwa mara mbili mfululizo kwa kusaidiwa na penat za utata na magoli ya off side ambayo ni fedheha kama ulipata kuyaangalia

Angalau mwaka huu mikia wameweza kuchukua ubingwa bila skendo

Hongera kwenu mikia fc ndani ya miaka mitatu mwaka huu nasema wazi mmestahili

Ila pamoja na yote ligi ya msimu huu utamu haswa ulikuwa dakika ya 44 uwanja wa taifa tar.8/3/2020 mbele ya raisi wa nchi na raisi wa Caf, Raha tuliyopata wanajangwani imepoza machungu yote ya kukaa miaka mitatu bila kuinua kwapa

View attachment 1492429View attachment 1492429

Daima mbele nyuma mwiko
Bila mbelekomagoli ya offside umeyasahau?
 
na mimi mshabiki wa mashetani ya chikundi nawapongeza na muendelee kwa miaka 10 ijayo kama mlivyomfungaga mtani wenu kwa miaka saba mfululizo
Te amo simba
mikia kumbe jina lingine inaitwa chikundu

sorry typing error ni chikundi kumbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom