Hatimaye mikia fc wameweza kuchukua ubingwa bila mbeleko

manchoso

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
1,606
2,055
Ndani ya miaka sita iliyopita mikia fc na yanga african wameweza kuchukua bingwa wa vpl kwa kila mmoja kuchukua mara tatu mfululizo

Tofauti na yanga waliochukua ubingwa back to back kwa uwezo mkubwa wale wenzao upande wa pili walichukua ubingwa mara mbili mfululizo kwa kusaidiwa na penat za utata na magoli ya off side ambayo ni fedheha kama ulipata kuyaangalia

Angalau mwaka huu mikia wameweza kuchukua ubingwa bila skendo

Hongera kwenu mikia fc ndani ya miaka mitatu mwaka huu nasema wazi mmestahili

Ila pamoja na yote ligi ya msimu huu utamu haswa ulikuwa dakika ya 44 uwanja wa taifa tar.8/3/2020 mbele ya raisi wa nchi na raisi wa Caf, Raha tuliyopata wanajangwani imepoza machungu yote ya kukaa miaka mitatu bila kuinua kwapa

yang.jpg
yang.jpg

Daima mbele nyuma mwiko
 
Simba ndo timu bora kwa ukanda huu wa East Africa.haifanyagi mambo yake kisa jirani wamefanya.
Simba inafanya mambo kwa weredi mkubwa sana.
Hata mashabiki wa Simba ni waelewa sana kuliko mashabiki wa masumbwi fc.

Mimi kama shabiki dam wa gwambina fc nawapongeza kwa kuwa mabingwa msimu huu na misimu mingine mitano inayofuatia.
 
Mimi kama shabiki na mwanachama mkubwa wa Mbeya Kwanza naunga mkono hoja yak
 
nashukuru sunche na kapeto hamjapinga kwamba miamala ilitumika miaka miwili iliyopita
 
Malinzi aaliwazoesha vibaya haya ndio matokeo yake sasa hivi ubingwa mtakuwa mnausikia kama mbeleko ni ile tuliyowasaidia kushiriki mashindano ya kimataifa kwa kushika nafasi ya pili
 
Simba ndo timu bora kwa ukanda huu wa East Africa.haifanyagi mambo yake kisa jirani wamefanya.
Simba inafanya mambo kwa weredi mkubwa sana.
Hata mashabiki wa Simba ni waelewa sana kuliko mashabiki wa masumbwi fc.

Mimi kama shabiki dam wa gwambina fc nawapongeza kwa kuwa mabingwa msimu huu na misimu mingine mitano inayofuatia.
Screenshot_20200629-065144_Instagram.jpg
hongereni kwa ubingwa wakalia tako 1
 
Simba ndo timu bora kwa ukanda huu wa East Africa.haifanyagi mambo yake kisa jirani wamefanya.
Simba inafanya mambo kwa weredi mkubwa sana.
Hata mashabiki wa Simba ni waelewa sana kuliko mashabiki wa masumbwi fc.

Mimi kama shabiki dam wa gwambina fc nawapongeza kwa kuwa mabingwa msimu huu na misimu mingine mitano inayofuatia.
Pia washabiki wa pamba veteran tunasema Simba ni hatari ichukue tu kombe hata miaka 7 ijayo .Nawakilisha
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom