Hatimaye Mbowe atoa ya moyoni kuhusu Halima Mdee

Haya yote ni matokeo ya kuondokewa na Mzee.

Huenda kina Mdee walishapiga hesabu zao kuwa breki ya kwanza ni 2025.
 
alimtoa akiwa mwanafunzi au ana fundisha? huyu kaingia Chadema akitokea ofisi za umma kama mtumishi... wazazi wake ndio walikuwa chuo wakipiga vipindi (Nazani ni mzee mdee ndio alikuwa ana fundisha)

aweke wazi...
 
Mbona chuki ni sehemu ya maisha ukifuga chuki utachukiwa tu bila kujali uko katika hali gani hayo ndio navuno
20220210_042641.jpg

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Wakaribie kitaa waionje ladha ya msoto tuone wanajiskiaje wakiambiwa mafuta ya kula na petroli na gharama za maisha zmepanda kwa sababu ya ukorofi wa Russia ili next time wajifunze kuitii mamlaka iliyo juu yao!
 
Halima na Genge lake la wahuni 18 washapotea kwenye Siasa!! Waanzishe chama chao cha wasaliti.
 
Halima na Genge lake la wahuni 18 washapotea kwenye Siasa!! Waanzishe chama chao cha wasaliti.
 
alimtoa akiwa mwanafunzi au ana fundisha? huyu kaingia Chadema akitokea ofisi za umma kama mtumishi... wazazi wake ndio walikuwa chuo wakipiga vipindi (Nazani ni mzee mdee ndio alikuwa ana fundisha)

aweke wazi...
Mnyika,zitto,mdee

Recruit wa mbowe tangu wakiwa udsm

Zitto huko nyuma akishawahi sema hivi

Ni recruits wa mbowe yeye mwenyewe sababu kwanza walikuwaga viongozi DARUSO

zitto alikuwa PM na halima spika kama sikosei na kina mtatiro akiwa Rais sema mtatiro akakimbilia cuf.

So dogo nyamaza
 
Huyu Halima alikuwa mtumishi wa Umma, akaacha akaenda ktk siasa mwaka mzima na baada ya hapo akakutana na viti maalum...

Na Utumishi wake una sababu na kwenda kwake kwenye siasa kuna sababu... niishie hapa wewe kubwa jinga...
 
Una mawazo ya kimaskini sana,kwahiyo unapopata nafasi sehemu hutaki kusonga mbele tena?
 
Haya ndo makosa mnayofanya,

Kabla ya kosa hili la Mdee hukuwa unajua kuwa ni msagaji?

Mbona vijana wa Chadema huwa mko hivyo?? Unajua mnakosea sana!

Ikitokea wamepatana na akarudi chadema utasemaje?

Hivi unajus siasa haina uadui wa kudumu mkuu??
Hili sio kwa vijana wa CHADEMA tu, ni kwa wanachama wa vyama vyote wanafanya hivyo. Muhimu wanatakiwa kujua siasa si uadui.
 
“Nilikwenda Nairobi, nikamuita Halima Mdee, akasafiri na Ester Bulaya. Nimekuwa nao siku 7 nikimshawishi Halima anieleze nini kilitokea, aligoma. Nikamuomba aache huo ubunge, nimemtafutia kazi Nairobi na RSA na atalipwa US$15,000 (Shs. 34.9M), Halima akagoma”.

“Halima ananiuma kwa sababu nyingi. Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”.

“Nairobi nilipowaita Halima na Bulaya nilikuwa nakutana nao kila siku. Tunakula na kunywa pamoja. Nikimbembeleza Halima aachane na ubunge wa damu, mtetezi ni Magufuli, hayupo. Nikamuomba anieleze nini kilitokea, Hawakuwahi kunieleza hadi naondoka kwenda Dubai”.

“Kama haya nayoeleza hapa kuhusu Halima nadanganya, Halima yupo hapa asimame na aseme kama ni uongo. Akanushe kuwa sikumtafutia kazi NRB na RSA alipwe Shs. 34.9M, au kama sikuzungumza na wazazi wake, au sikumuita NRB kumshawishi aachane na ubunge wa Magufuli”.

“Siyo kazi rahisi kufukuza wanawake 19 ambao umewajenga kwa gharama, wapo wote mbele ya baraza kuu, nitawaomba sasa dada zangu hawa, aliye na jambo la kuzungumza asogee mbele asemee”.

Baada ya hapo mwenyekiti Freeman Mbowe akawaambia wajumbe “nadhani dada zangu wameona hawana kitu cha kuongea na wajumbe wa baraza kuu, mheshimiwa katibu mkuu, sasa nikuombee tuendelee na taratibu za kitaasisi, tusikilize rufaa zao na tufikie maamuzi” Wajumbe wa
Ubunge wa damu ndo Ubunge gani huo? Mbowe aache kupotosha Watanzania kwa kauli za kihuni na kifedhuli kama hizo kisa tu kujipendekeza kwa Mama Royal Tour
 
“Nilikwenda Nairobi, nikamuita Halima Mdee, akasafiri na Ester Bulaya. Nimekuwa nao siku 7 nikimshawishi Halima anieleze nini kilitokea, aligoma. Nikamuomba aache huo ubunge, nimemtafutia kazi Nairobi na RSA na atalipwa US$15,000 (Shs. 34.9M), Halima akagoma”.

“Halima ananiuma kwa sababu nyingi. Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”.

“Nairobi nilipowaita Halima na Bulaya nilikuwa nakutana nao kila siku. Tunakula na kunywa pamoja. Nikimbembeleza Halima aachane na ubunge wa damu, mtetezi ni Magufuli, hayupo. Nikamuomba anieleze nini kilitokea, Hawakuwahi kunieleza hadi naondoka kwenda Dubai”.

“Kama haya nayoeleza hapa kuhusu Halima nadanganya, Halima yupo hapa asimame na aseme kama ni uongo. Akanushe kuwa sikumtafutia kazi NRB na RSA alipwe Shs. 34.9M, au kama sikuzungumza na wazazi wake, au sikumuita NRB kumshawishi aachane na ubunge wa Magufuli”.

“Siyo kazi rahisi kufukuza wanawake 19 ambao umewajenga kwa gharama, wapo wote mbele ya baraza kuu, nitawaomba sasa dada zangu hawa, aliye na jambo la kuzungumza asogee mbele asemee”.

Baada ya hapo mwenyekiti Freeman Mbowe akawaambia wajumbe “nadhani dada zangu wameona hawana kitu cha kuongea na wajumbe wa baraza kuu, mheshimiwa katibu mkuu, sasa nikuombee tuendelee na taratibu za kitaasisi, tusikilize rufaa zao na tufikie maamuzi” Wajumbe wakapiga kura!
Mbowe anahuruma sn asee
 
Back
Top Bottom