I think hakutegemea haya yote!
kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.
At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!
Kwa nchi inayoishi ki-umatonya, kweli was it worth it kuiingia gharama zote hizo? ulinzi, usafiri wa ndege mpaka Arusha. And dont tell serikali 'inasimamia' sheria maana for the last 6 years Kikwete amekuwa anafanya mazungumzo na wezi wa EPA! Huo ndio uvunjwaji wa sheria maana wezi wanatakiwa wawe keko.
Kibaraka wa CCM umesuuzika sana na matukio haya. Mahakimu hao hao waharakishe na kesi za maelfu ya waTanzania wanaooza gerezani kwa kesi zao kutosikilizwa kwa miaka mingi na sio kushupalia kesi ambayo kimsingi ni ya kubambikiza kuhalalisha mauaji nyie CCm mliyofanya Arusha
Kijeba cha roho
Mwenyekiti wa chadema ameshaachiwa na sasa watu wamembeba juu juua ..arusha
Kakamatwa kwa kukaidi amri ya mahakama, kapelekwa mbele ya pilato, wenzake wamekuja kumuombea dhamana kwa kufuata taratibu zote za kisheria tena kwa adabu zote, kwa kuwa mahakama ni chombo cha haki imewasikiliza.
Mwenyekiti Mbowe alikuwa na sababu gani iliomzuia kufika mahakamani? Mbona Dr Slaa alilimaliza hili kistaarabu?Acha kuropoka...taratibu za mahakama hazikufuatwa na kama Tanzania kuna Mahakama mbona mafisadi wanaishika makalio nchi na mahakama zinakenua...........
Jipe moyo na endelea kujifariji na maneno yako yasiyo na kichwa wala miguu. Hakuna aliyeomba hapa, hakimu ameogopa nguvu ya umma, ameona watu walivyojaa hapa mahakamani ikabd asalimu amri. Asingemwachia aone nguvu ya umma ingefanya nini. Chadema oyeeeee!!
hahahahaa! hayupo empty bana, hataki kuchanganya za kwake na za ualimu wake!!before posting your comments you need to think twice! Remember tz is a developing country with the world sustainability ranked it 152 out of 169 countries of the world. Why all this nonsense costs? I guess you are empty in the head.
Mzee mchango wako poa lakini katika kazi hasa ya uhakimu hakuna msimamo mkali hiyo ndiyo inaitwa siasa. Mahakamani kuna sheria na taratibu.
Funzo ameisha lipata, nadhani sasa akisikia wito wa mahakama atakimbia kama upepo ! Dola dola dola si mchezo
Gharama ya amani ni kubwa sana, tume sakrifaisi ili kuiweka jamii salama, Huyu ni mtu hatari sana kwa usalama wa taifa letu watumie tu hata ndege ya rais ikibidi.
Mwenyekiti Mbowe alikuwa na sababu gani iliomzuia kufika mahakamani? Mbona Dr Slaa alilimaliza hili kistaarabu?