Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Habari za kushangaza ulimwengu ni juu ya majogoo wa jiji(Liverpool) kukasirika na kuanza tabia ya kupanda kila kuku jike anayekatisha mbele yao kitendo kinachoshangaza wakati wa dunia hii. Majogoo haya machipukizi na jogoo moja zee(Milner) yanaonekana kukosa subira ya upandaji yaani mtaani majike kwa sasa kukatiza yanaona tabu sana