MAFISADI si wanajulikana kama ifuatavyo
1) Kinara wa Mafisadi ( Nywele Nyeupe)
Sifa kubwa - ameitumikia Serikali ya CCM kwa miaka isiyopungua 38
Amekuwa mbunge wa CCM kwa miaka 20, Waziri katika wizara mbali mbali. Unongozi kwenye mashirika mbali mbali likiwepo AICC.. Mwenyekiti wa kamati mbali mbali za bunge.
Hatosahauliwa kila alikopita AMEPIGA MAPIGO MATAKATIFU... ambay hayatasahaulika ni RICHMOND, WIZI WA ARDHI NA MAENEO YA WAZI NA YASIYO YA WAZI...KUPELEKA MIRADI YA MAJI KWENYE MIGODI KWA KUTUMIA MAJINA YA WAKAZI WA SHINYANGA KWA GHALAMA YA SERIKALI....
2) MR ZIRO
Miaka isiyopungua 20 ...10 kama waziri mkuu aliyetaifisha Ranchi za Taifa na kuwapa ndugu, watoto, jamaa na marafiki.
3) Mzee Asiyekuwa na Dini...
Mkusanya KODI parking katika maeneo ambayo hata kuendelezwa bado..pamoja na vituo vya mabasi...
HONGERENI SANA WANA UKAWA KWA KUBORESHA VYAMA VENU!!! LOWASA IS GENIOUS NDANI YA SIKU 100 ameweza kugeuza muelekeo wa vyama 4!!!