Hatimaye Magufuli adhibitiwa na CCM

Hatimaye Magufuli adhibitiwa na CCM

kama mzee kingunge aliyeanzisha chama na kina nyerere anasema hakuna jipya kwa ahadi za maghufuli na ccm yake.nani mwingine wakumuamini?ccm ikapumzike salama...
 
Nimeona anasoma kwa makini kweli ila atasahau mda siyo mrefu maana laana iliyop ccm ni kubwa sana ndioo maana ccm inanuka!!

Anasoma katekisimo wakati wa kutoa sadaka. Huku ni kule kulikumbuka shuka wakati jogoo anawika.
 
TINGA TINGA namba nyingine babu!.... mdudu aliyekuwa anajiita KINGUNGE aka Mkusanya kodi za parking barabarani na kituo cha ubungo kakimbia... kwa ufupi MAFISADI WOTE WANATETEMEKA.....wakisikia MAGUFULI.... WANATETEMEKA!

ndio maana siwezi kumpa kura mgombea yeyote wa ccm, yaani kumbe kingunge alikuwa ndio kapewa tenda za parking barabarani na kituo cha ubungo!!!!! sasa tungejuaje haya kama asingeondoka ccm? yaani ccm kwa kulindana wezi na mafisadi na kupeana madili wamekithiri kwa kweli,ndio maana nchi yenye maliasili kama Tanzania ipo kwenye group la nchi maskini Zaidi duniani na uchumi upo kwenye level moja na na uchumi wa nchi kama Benin ambao hata milima hawana
 
Huwezi sukuma gari ukiwa ndani ya gari... magufuli hata afanyeje yupo ndani yachungu chenye ukoko uliochacha naunanuka hivyo nayy lazima anuke tuu haata atumie oafyumu ya aina gani
 
Huwezi sukuma gari ukiwa ndani ya gari... magufuli hata afanyeje yupo ndani yachungu chenye ukoko uliochacha naunanuka hivyo nayy lazima anuke tuu haata atumie oafyumu ya aina gani
 
Vijana mnahangaika na mihemuko, Magufuri ni kiboko ya mafisadi haijalishi wako upinzani au ccm. Kura kwake tafadhali
 
Baada ya CCM kuona Mgombea wake wa nafasi ya Urais John Pombe Magufuli amekuwa akisema mambo Jukwaani tofauti ya wanachokubaliana, sasa Mgombea huyo anatumia hotuba alizoandikiwa kwenye mikutano yake ya Kampeni. Magufuli ataibadili CCM au CCM itambadili Magufuli?


Tumekuwa tumejizoesha tabia nyingi zisizo na misingi mizuri, kama uzushi, uongo na fitina, Ukiangalia hizi habari atii za siri mara nyingi zinazoletwa hapa na wana JF , zinanishangaza huwa tunazipataje, nImeona habari nyingi za siri za Chadema,ACT na CCM zikiwekwa hapa jukwani na wanachama, utadhani hao vijana walikuwa na vifao vya kusikilizia kinacho endelea ndani ya hiyo mikutano. Vijana wetu wangeweza kuutumia huo muda au akili za utuungaji uongo kama huo ambao unaweza kuaminiwa, kujaribu kufikiria mbinu za kuinuwa maisha yao basi TZ ingekuwa mbali sana.

Bw Allen hii posting yako haitaweza kuwachonganisha CCM na Magufuli, they all need each other and their plan is much bigger than me and you, na sio Rahisi wewe kuipata SIRI N YAO, huu ni wakati wa Uchaguzi na vyama vyote vinakuwa na siri sana, na mara nyingi THE USE THE DIS INFORMATION TACTICS TO CONFUSE THEIR OPPONENTS, KWA HIYO UACHIA HABARI ZISIZO SAHIHI NA KUWAPA WATU KAMA WEWE ILI MUKIMBILIE KUZISAMBAZA NA KUPUNGUZA MAKALI YA UPINZANI.
 
TINGA TINGA namba nyingine babu!.... mdudu aliyekuwa anajiita KINGUNGE aka Mkusanya kodi za parking barabarani na kituo cha ubungo kakimbia... kwa ufupi MAFISADI WOTE WANATETEMEKA.....wakisikia MAGUFULI.... WANATETEMEKA!

Walinzi wa mfumo kiritimba ndani ya ccm wana mawazo.
Wanajua jamaa atawafanyizia na hakamatiki.
Hakuna namna nyingine tena ha ha ha.
 
Hiyo inshu ni ngumi sana kumbadilisha fisi kuwa kondoo na kibaya zaidi hiyo kazi anaetaka kuifanya ni fisi mwenyewe na kushirimiana na fisi wenzake.
 
Huwezi sukuma gari ukiwa ndani ya gari... magufuli hata afanyeje yupo ndani yachungu chenye ukoko uliochacha naunanuka hivyo nayy lazima anuke tuu haata atumie oafyumu ya aina gani


Atoroke aje Chadema.
 
Ukawa wanaonyesha kila dalili za kukubali matokeo.Ilikuwa ni dhambi kubwa kumpokea aliyekatwa na CCM kwa kudhani anakubalika licha ya mabaya yake hadi kuitwa gamba
 
Mnachekesha sana watu wengine. Wenzenu wanampaka matope Lowassa kuwa mdini. Halafu wengine mnajichanganya tena miongoni mwenu,mnasema Lowassa hana dini. Sasa tumkibali nani?
 
Back
Top Bottom