Wewe ndiyo hujui. CCM inataratibu zake
Vijana mnahangaika na mihemuko, Magufuri ni kiboko ya mafisadi haijalishi wako upinzani au ccm. Kura kwake tafadhali
Baada ya CCM kuona Mgombea wake wa nafasi ya Urais John Pombe Magufuli amekuwa akisema mambo Jukwaani tofauti ya wanachokubaliana, sasa Mgombea huyo anatumia hotuba alizoandikiwa kwenye mikutano yake ya Kampeni. Magufuli ataibadili CCM au CCM itambadili Magufuli?
Hapa kazi tu
Ataibadili
Wameshaanza kuweweseka
Hapa kazi tu
Ataibadili, mpaka mwenye kadi namba 8 katimua mbio. mwisho wa siasa za wanamtandao 25!
Kabanwaje sasa, kabanwa ama yeye ndo kawabana kupe?
Nimeona anasoma kwa makini kweli ila atasahau mda siyo mrefu maana laana iliyop ccm ni kubwa sana ndioo maana ccm inanuka!!
TINGA TINGA namba nyingine babu!.... mdudu aliyekuwa anajiita KINGUNGE aka Mkusanya kodi za parking barabarani na kituo cha ubungo kakimbia... kwa ufupi MAFISADI WOTE WANATETEMEKA.....wakisikia MAGUFULI.... WANATETEMEKA!