Hatimaye Magufuli adhibitiwa na CCM

Hatimaye Magufuli adhibitiwa na CCM

Magufuli ni hatari kwa ccm na mafisadi hata kama wapo upinzani.
 
TINGA TINGA namba nyingine babu!.... mdudu aliyekuwa anajiita KINGUNGE aka Mkusanya kodi za parking barabarani na kituo cha ubungo kakimbia... kwa ufupi MAFISADI WOTE WANATETEMEKA.....wakisikia MAGUFULI.... WANATETEMEKA!

Simu inalia......wahi!
 
Back
Top Bottom