Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

Vipi kuhusu wale wanafunzi?na wao wamepata dhamana?
 
Kwa mwanaume aliye kwenye mapambano ni jambo la kawaida tu....
 
Na bado mgombea urais wa ukawa kulala segerea mpaka mkome kudanya watanzania. juzi juzi tu mlikuwa mtuaminisha Lowassa fisadi, ghafla si fisadi ni mtu safi. pambaaaf...
Lowassa kakaaa madarakani.miaka 2.baadaya hapo.ufisadi uliisha.kama jibu ndio.nahamia sisimu sasa hivi
 
leo jioni nimesikia ktk taharifa ya habari ya itv saa mbili uck kuwa masha kahachiwa kwa dhamana na apo apo nikasiki kuwa ukawa wamenyimwa uwanja wa jangwani tr.29 kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za uraisi hii ni bahada ya kuwanyima tena uwanja wa taifa kwa kweli nimesikitika sana na nimewaona wakumbavu sana hao wanao tumika na ccm juu ya kuwasumbua ukawa ni kwamba wakae wakijua kuwa ni wanawaongezea nguvu zaidi kwa asilimia 100 tena na pia watambue kuwa ccm ata wakiachwa wafanye kampeni ata mwz mzima awatakuwa na jipya wao na uyo mgombea wao na watambue kuwa wao ni wapinzani toka sasa
 
Jamani mnatia aibu. Hiki kiswahili mmefundisha wapi!? KAHACHIWA
 

Duuu mwalimu wako wa Kiswahili alikuwa kwenye mgomo nini?
 
Mtoa Mada ana reflect hali halisi ya wafuasi wa ukawa...na Mkapa hakukosea katu kuwaita vile.
 
Jamani mnatia aibu. Hiki kiswahili mmefundisha wapi!? KAHACHIWA


Ndiyo products za shule za Kata zenye walimu wa Voda faster. Ila message sent kama alivyokusudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…