Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,092
Reaction score
7,235
Hatimaye Lawrence Masha amechiwa kutoka mahabusu baada ya jana kuwa amekosa dhamana pale mahakama ya Kisutu, hali iliyopelekea yeye na wenzake kurudishwa rumande.

Lakini mchana huu (wa tarehe 26-08-2015) hatimaye ameweza kutolewa nje kwa dhamana na kusubiria mashtaka yake.

masha.jpg

LAU.jpg

11041256_1016896011696576_4516666672842891621_n.jpg
 
Poa tu sikilizeni mziki wake sasa! Wapumbavu tu nyie na hilo genge lenu
 
Hawawez tufunga wote Ila wanajaribu pipozi sio yakitoto wataisoma namba this year
 
Ili mbegu itoe mazao sharti ioze kwanza. Huwezi kenda mbinguni bila kufa kwanza
 
hatimaye lawrence masha amechiwa kutoka gerezani baada ya jana kuwa amekosa dhamana
pale mahakam ya kisutu ,hali iliyopelekea yeye na wenzake kurudishwa rumande...
Lakini mchana huu (wa tare 26-08-2015) hatimaye ameweza kutolewa nje kwa dhamana na kusubilia mashtaka yake.

mulimtosa dhamani; mpo busy k/koo ,tandale , ilala

kwa kukosa 2 mil ; kampuni yake ya usafi walimsusia ; inaonyesha haishi vizuri na wafanyakazi wake.

Alishawaona malofa;

wamemchunia; lazima wafagie jiji kwa kasi na hali mpya
 
Hii ni namns ambayo inaweza kumpa mtu umaarufu na kusababisha kupata kura za sympath. Ni vyema vyomba vya dola na chama tawala vikawa makini katika kutekeleza maamuzi/maagizo hasahasa yanayowahusu wagombea.
 
Back
Top Bottom