Hatimaye Laurent Gbagbo apandishwa kizimbani The Hague

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,671
239,176
Anakabiliwa na mashtaka ya kung'ang'ania madaraka baada ya kushindwa uchaguzi wa kidemokrasia nchini mwake,

Mashtaka mengine ni pamoja na ubakaji na mauaji.

Chanzo: ITV habari

My Take - ule wakati wa sheria kufuata mkondo wake kwa wanasiasa wababe wa kiafrica umefika, tuutumie, hakuna haja ya kuchinjana wenyewe kwa wenyewe.
 
inaßikitishaaaa

inauma sana eee

no way tumwage tu damu
mkuu hakuna haja ya kuwasumbua wakima mama , watoto na vilema , tuache sheria ichukue mkondo wake , inasemekana waliounganishwa naye ni pamoja na maofisa usalama na maofisa wa polisi , malipo ni hapahapa .
 
sasa hii mahakama itawanyoosha .
Hata huyu 'Gbagbo' wetu wa Zenji naye hivi karibuni atafanyiwa booking ya kwenda The Hague kwenda kujibu mashitaka yanayofanana na ya huyo Gbagbo 'mwenzake' ambayo ameanza kuyajibu mashitaka yake hivi leo.
 
Anakabiliwa na mashtaka ya kung'ang'ania madaraka baada ya kushindwa uchaguzi wa kidemokrasia nchini mwake,

Mashtaka mengine ni pamoja na ubakaji na mauaji.

Chanzo: ITV habari

My Take - ule wakati wa sheria kufuata mkondo wake kwa wanasiasa wababe wa kiafrica umefika, tuutumie, hakuna haja ya kuchinjana wenyewe kwa wenyewe.
Anakabiliwa na mashtaka ya kung'ang'ania madaraka baada ya kushindwa uchaguzi wa kidemokrasia nchini mwake,

Mashtaka mengine ni pamoja na ubakaji na mauaji.

Chanzo: ITV habari

My Take - ule wakati wa sheria kufuata mkondo wake kwa wanasiasa wababe wa kiafrica umefika, tuutumie, hakuna haja ya kuchinjana wenyewe kwa wenyewe.
Anakabiliwa na mashtaka ya kung'ang'ania madaraka baada ya kushindwa uchaguzi wa kidemokrasia nchini mwake,

Mashtaka mengine ni pamoja na ubakaji na mauaji.

Chanzo: ITV habari

My Take - ule wakati wa sheria kufuata mkondo wake kwa wanasiasa wababe wa kiafrica umefika, tuutumie, hakuna haja ya kuchinjana wenyewe kwa wenyewe.
Hata huyu 'Gbagbo' wetu wa Zenji naye hivi karibuni atafanyiwa booking ya kwenda The Hague kwenda kujibu mashitaka yanayofanana na ya huyo Gbagbo 'mwenzake' ambayo ameanza kuyajibu mashitaka yake hivi leo.

Naona Nkurunzinza akisogelea huko, Jecha, Shein na Magufuli wakiutafuta mlango wa kuingilia The Hague
 
Anakabiliwa na mashtaka ya kung'ang'ania madaraka baada ya kushindwa uchaguzi wa kidemokrasia nchini mwake,

Mashtaka mengine ni pamoja na ubakaji na mauaji.

Chanzo: ITV habari

My Take - ule wakati wa sheria kufuata mkondo wake kwa wanasiasa wababe wa kiafrica umefika, tuutumie, hakuna haja ya kuchinjana wenyewe kwa wenyewe.

Kwani huyo Lau na Shein tofauti yao ni nini hasa???
 
Hivi ni kwanini kesi hii imetajwa sasa ? na je hii inatufundisha nini ?
 
Ndiyo maana mimi huwa nayashangaa sana ma Rais ya Africa kutaka kujitoa The hangue.Dk Shein ndo Gbabo wa Tanzania na Mwanamwema Shein ni bi Simeone wa Tanzania.Si wapelekwe the Hague na hawa wanasubili hadi watu wafe?
 
wakiendelea kung'ang'ania madaraka wataishia aibu .
 
Back
Top Bottom