Ms Judith
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 2,563
- 932
kufuatia hatua ya kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania kubariki huduma ya uponyaji inayoendelea kufanywa na mmoja wa wachungaji wake wastaafu mch. ambilikile mwasapile baada ya kuoteshwa na mungu huko loliondo. kanisa la kkkt limeamua kubadili jina lake na sasa litajulikana rasmi kama Kunywa Kikombe Kimoja Tu (KKKT)(haki zote zimehifabdiwa kwa Prof. kasambanda)