Huenda yaliyosemwa yalikuwa ya kweli, prof. Lipumba aliwahi kunukuliwa akisema Deus mallya ni shu shu shu na alipata mafunzo yake Libya. Kwa hiyo huenda alitumika kutekeleza kazi maalumu ya serikali.
cha kuchekesha kipo hapa je ni kikwete anayependekeza majina ya wasamehewa au nani.. mbona hizi link huwa zinakera je kosa la kuendesha gari na kusababisha ajali iliyoua si kosa dogo tu la traffic? Mbona tunasema tu bila kujua hasa hizi sheria zinasemaje na nani hasa anahusika na mipangilio. Hili huwa linatyupa sana watanzania. kwa kawaida wanaosamehewa ni wale wenye makosa ya kipuuzi na wagonjwa je kosa la trafic si la kipuuzi na kama shushushu kafanya kazi yake ilikuwaje wahangaike vile?: Serikali huua ndio lakini wako very niti katika hili na kama unabisha soma falsafa za mauaji na conspiracy zakeNa yeye siku yake ya kukufa si ipo jamani. hataishi milele
nilikuwa nje ya mtandao duh haya mabadiliko yako very unfriendly. sipendi JF huo ndio ukweli inanisumbua haya marangirangi yenu mfumo ahh yaani ulijiondoa hewani kufix vitu au ulijiondoa hewa kunikera. mhh nilikuwa nafikiri tu.
cha kuchekesha kipo hapa je ni kikwete anayependekeza majina ya wasamehewa au nani.. mbona hizi link huwa zinakera je kosa la kuendesha gari na kusababisha ajali iliyoua si kosa dogo tu la traffic? Mbona tunasema tu bila kujua hasa hizi sheria zinasemaje na nani hasa anahusika na mipangilio. Hili huwa linatyupa sana watanzania. kwa kawaida wanaosamehewa ni wale wenye makosa ya kipuuzi na wagonjwa je kosa la trafic si la kipuuzi na kama shushushu kafanya kazi yake ilikuwaje wahangaike vile?: Serikali huua ndio lakini wako very niti katika hili na kama unabisha soma falsafa za mauaji na conspiracy zake

Mkuu utakuwa umetumwa??
Sasa wewe ndo unatukera bora upotee kabisaaaaa.....nitamshutua mode akubani
...Mkuu si unajua hii ni bongo kila kitu kinawezekana. Kwni kuna tabu gani kama hao walioko kwenye parol board wakiambiwa watengeneze mazingira kuwa Deus ni mgonjwa wa TB au muathirika wa HIV ili atoke?? Sishangai sana....Haya ni mambo ya chekundu cheusi ukiokota cheupe umeliwa bana...!!Msamaha kwa mtu aliyesababisha ajali na kuua public figure anasamehewa kirahisirahisi tu?...Imekwendakwendaje hii?..Mbona walisema msamaha unawahusu Wagonjwa wa Ukimwi na TB, na vitu vya namna hiyo?
tatizo nchi hii ina mambo mengi sana..yaliyomo na yasiyokuwemo ....mbona kina nanihii hawajasamehewa basi??
cha kuchekesha kipo hapa je ni kikwete anayependekeza majina ya wasamehewa au nani.. mbona hizi link huwa zinakera je kosa la kuendesha gari na kusababisha ajali iliyoua si kosa dogo tu la traffic? Mbona tunasema tu bila kujua hasa hizi sheria zinasemaje na nani hasa anahusika na mipangilio. Hili huwa linatyupa sana watanzania. kwa kawaida wanaosamehewa ni wale wenye makosa ya kipuuzi na wagonjwa je kosa la trafic si la kipuuzi na kama shushushu kafanya kazi yake ilikuwaje wahangaike vile?: Serikali huua ndio lakini wako very niti katika hili na kama unabisha soma falsafa za mauaji na conspiracy zake
Upuuzi mtupu, kama ni shushu kweli walishindwa kumtafutia LESENI???? Acheni uzushi nyie ndio mnaipausha JF mpaka kinaonekana ni KIJIWE cha waliokosa kazi, JK kawasamehe wafungwa kwa tatratibu zilizopo na sio kwa majina, ebooooo