Hatimaye Kikwete Afanya Kweli

Nilipoona Thread hata tarehe si kusoma nikajua mkuu wa kaya keshamtemesha kibarua chenge kumbe thread yenyewe 2 years back shit!. Mkuu wa kaya hana lolote amebakiza miaka miwili wakati anafanya vitu vya kumletea sifa tu baada ya kutumikia waTZ
 
Mbona habari yenyewe ni ya miaka miwili iliyopita...🙁 mimi nilidhani ni ya leo....🙁 Wakuu mkifufua threads za muda mrefu basi itakuwa vizuri mkitoa na warning ili watu wasichuuzike.
 

kweli Mac hututakii mema watanzania....ufisadi wote huu bado tumpe muda wa miaka 5 mengine CCM watumalize kabisa mana sasa waTZ tuko hoi
 
Du niliichangamkia hii thread kwa spidi ya ajabu. Nilidhani JK kaamua kumshughulikia Mkapa. Kumbe...
 

Mzee Mwanakijiji,

Pole kwa kazi za kutwa nzima, nakuheshimu sana mzee mzima ila hii habari inapunguza kidogo kuamini kuwa uwezo wako wa kufikiri umekuwa wa kiasi cha chini kiasi hiki! "Bygone 2 be bygone" Serikali ikitaka kufanya lake haishindwi! Serikali hiihii iliyopo madarakani Serikali ya CCM wamegoma kumlimpa yule jamaa jina limenitoka mpaka BoT ikamuajiri Mkono kwa ajili ya ile kesi na yule jamaa alishashinda na mahakama ikaamuru alipwe.

Huyo JK aliezuia nyumba zisiuzwe yeye alikuwa katika baraza la mawaziri lililoridhia kuuza nyumba za Serikali na yeye akajitwalia moja iliyopo mtaa wa ursno regent estate!

Huo anaufanya ni muendelezo wa siasa za kisanii za JK.
 
Du niliichangamkia hii thread kwa spidi ya ajabu. Nilidhani JK kaamua kumshughulikia Mkapa. Kumbe...

Alishasema mwacheni Mzee fisadi apumzimke kwa amani....Ooops! Mzee wetu apumzike kwa amani...sasa nadhani anajuta kwanini alitoa kauli hiyo.
 
Field Marshall ES
Daah natamani ningekuwepo enzi hizo humu ndani maana jamaa umechambua mambo balaa ila hatimaye serikali ya kishkaji imeshaondoka.
 
Last edited by a moderator:
 
Field Marshall ES
Kumbe ndio ilikuwa ndoto ukija bongo uwe mbunge halafu waziri?!, duh! What a loser!!, umeishia kuwa mpambe wa Mosha na kupiga picha na mabebez le supa mtindiz.
Aibu hii.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…