umefuatilia ni kwa nini wameachwa!Duh....Sure boy, chilunda, Idd seleman, Ambokile Hapana jmn
umefuatilia ni kwa nini wameachwa!Duh....Sure boy, chilunda, Idd seleman, Ambokile Hapana jmn
Watu wanalaumu hawajui kuna wengine majeruhi!umefuatilia ni kwa nini wameachwa!
Salum Abubakar Salum sio Mzanzibar, ni Mbongo mtoto wa zamani wa mchezaji wa Yanga Abubakar Salum kwao Mburahati
Sure boy ni wa zanzibar
Manula ni pazia tu, Beno akiwa na match fitness ni mzuri kuliko Manula.Hata KMC pale Kaseja ni namba mbili. Hii inamaliza ubishi kwamba baada ya Kaseja wa enzi za Simba, golikipa bora aliyefuatia ni Aishi Manila, kuanzia wa Azam hadi sasa wa Simba. Hakuna cha Kaseja wa KMC, Kakolanya wala Metacha, hajatokea mwingine zaidi ya Aishi, hata akiumia akapumzika bado ni Tanzania One
Manula karuhusu mabao mawili tu Kati ya matatu katika mechi za ligi zaidi ya saba. Kakolanya aliruhusu mabao mawili katika mechi moja tu ya Ngao ya HisaniManula ni pazia tu, Beno akiwa na match fitness ni mzuri kuliko Manula.
Tushapigwa kimojaHuko cecafa vp?.....hakuna updates?