Hatimaye Kaseja atemwa timu ya Tanzania kwenda CECAFA

Hata KMC pale Kaseja ni namba mbili. Hii inamaliza ubishi kwamba baada ya Kaseja wa enzi za Simba, golikipa bora aliyefuatia ni Aishi Manila, kuanzia wa Azam hadi sasa wa Simba. Hakuna cha Kaseja wa KMC, Kakolanya wala Metacha, hajatokea mwingine zaidi ya Aishi, hata akiumia akapumzika bado ni Tanzania One
Manula ni pazia tu, Beno akiwa na match fitness ni mzuri kuliko Manula.
 
Aisha Manara hamna kitu pale, anabebwa na wanazi simba tu. Tena mechi za nje ndiyo anaboronga ile mbaya, yetu macho tusubiri muda utaongea.
 
Manula ni pazia tu, Beno akiwa na match fitness ni mzuri kuliko Manula.
Manula karuhusu mabao mawili tu Kati ya matatu katika mechi za ligi zaidi ya saba. Kakolanya aliruhusu mabao mawili katika mechi moja tu ya Ngao ya Hisani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom