Hatimaye Julius Malema atia neno kuhusu Magufuli

He is South African na maslah ya nchi yake ni muhimu pia. Bandari za SA hutumiwa na nchi jirani hivo ujenzi na upanuzi wa bandari uoande huu wa EA hasa Tanzania unaweza kuounguza utegemezi wa bandari za SA . Siasa nayo ni uvhumi kuna pongezi nyengine za kukudhoofisha.
 
Tunapokea pongezi za Malema ambaye ni kiongozi wa chama maarufu cha upinzani cha Economic Freedom Fighters EFF. Malema ndiye Lissu w Afrika Kusini. Huku Lissu wetu tumemvua mpaka ubunge na kumtelekeza huko nje akihudumiwa na mabeberu.
Lissu wa EFF hajawahi kuwa kuwadi wa mabeberu na ushoga na kufitinisha taifa lake.
 
The young man is misinformed au na yeye yuko kazini kuhujumu mradi kwa kumsifia Jiwe ili asifanye mradi ambao ungezaa bandari kubwa kuliko bandari zote zilizoko ukanda wa bahari ya hindi ikiwemo ya Durban nchini mwao
Nadhani uliahidiwa 10% ndio maana unaipigia debe , sie watanzania hatutaki bandari inayowafaidisha wachina watanzania tunalala njaa, kama unawataka hao wachina wape eneo nyumbani kwako wafanye hivyo, lakini sio huko Bagamoyo.
 
Mtu kama wewe sina mda wa kueleza chochote kutokana na uliyoandika hapa. Uko ngazi ya chini sana.
 
Tunaoishi Tanzania tunamfahamu na tunayafahamu anayoyafanya kuliko mtu mwingine yeyote. Ni aheri maneno hayo yangetoka kwa Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania maana huyo anaona mema na mabaya yote yanayotokea nchini mwetu.
Yote?
 
Asilimia 78 ya Ardhi ya Afrika
Kusini inamilikiwa na wazungu. Anafanya nini kuhusu hilo?

Au ndiyo ndugu zetu katika "imani"?

Hapo sasa!
 
Tumefikia wakati hadi wa kumpongeza mpongezaji ? Sio mbaya kusema mazuri yanayofanyika ila issue ni pale mijadala yote inakuwa ni kupongeza na kupongezana....tukiendelea hivi tutasahau hata kufanya yale yanayotakiwa kufanyika ili tupongezwe...
 

Namkubali Malema!

Ila ni clueless motherfvcker about this!
 
Dunia inaongea,watu makini wanaona,mataifa makini wanaona!

nynyi wapinzani wa bongo endeleeni kujipigia upatu humu ndani ya mitandao.

VIVA JPM 2025
 
Mtu kama wewe sina mda wa kueleza chochote kutokana na uliyoandika hapa. Uko ngazi ya chini sana.
tatizo hupendi. kusikia mawazo tofauti jomba, utakufa na kihoro, ukweli ni ukweli tuu hata ufanyeje..hahahah ngazi ya chini ndio ipi..basi wewe wa ngazi ya juu ungetoka humu utuachie sisi jonba..tafuta kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…