Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

Hongera zake kwa Ushindi. Na heko kwa mhimili wa dola kutenda haki na ikaonekana haki imetendeka.
 
hatimaye Mwandish wa habari Jeri Muro ameachiwa huru.mwandishi huyo aliyekuwa anafanya kazi TBC alikuwa anakabiliwa na kesi ya kudai rushwa...

Ulikuwepo Mahakamani au ni uzushi, maana tulikuwa tunasubiri kupata habari za hukumu yake leo.
 
Pole Jerry Muro, huo ulikuwa mpango wa mafisadi
hatimaye Mwandish wa habari Jeri Muro ameachiwa huru.mwandishi huyo aliyekuwa anafanya kazi TBC alikuwa anakabiliwa na kesi ya kudai rushwa...
 
Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii

si kweli....kesi ile ilikuwa ya kupikwa na ndio mana kashinda
 
kuna habari kuwa mahaka ya kisutu imemwachia huru aliyekuwa mtangazaji wa TBC1 Jerry Muro.
 
Unaweza kutupa sababu mbili tatu za kuachiwa huru, such as ushahidi wa mashtaka hautoshelezi, hakuna ukweli wowote wa Jerry kuchukua rushwa etc?
 
Duh! Ile kesi kumbe bado ilikua haijaisha?
 
pole sana karibu kwenye kampeni za kuikomboa nchi kwa kupitia cdm
 
Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii
endelea kudhani upo juu ya sheria kuna siku tutawachoma vijiti makalioni kama gadaffi.
kwa akili yako Jerry alikuwa anafanya mchezo mchafu???????????
 
Back
Top Bottom