Yule mwanamke hata sijui katokea wapi? Au ni Mrs AmbassadorYule jamaa alikua wa aina yake, tajiri, mafia, ana huruma, ana utu, katili, anajua mapenzi lakini ilikua inategemea unamkuta kwenye mazingira gani. Alichomfanyia Ambassador ndio nikaona jamaa ni habari nyingine.
Ubabe wake ulikua unachagizwa na Roman...
Hivi yule mwanamke aliyemtwanga risasi Lincoln ni nani?
Watu wanajua kutunga aisee yaani mtu kipande chake kinapoisha aka kufika mwisho inatengenezwa story ya kumuondoa. Hii iliwahi kutokea mara moja kwenye tamthilia zetu za Tanzania enzi zile ITV kulikuwa na bwana mmoja anaitwa Idd Ligongo alikuwa amepata kazi kutanga taarifa ya habari ikatengenezwa kipande cha anasafiri kwenda nje ya nchi kwa masomo ndo ikawa mwisho wake (sasa hivi nadhani yupo VOA huyu jamaa)Papa Zeb na Ma Agness walikufa kwenye ajali ya moto.
Wacha iishe tuIsidingo haikua na story za Telemundo kua lazima Julian na Maria lazima waishie pamoja. Ilikua na series ya maisha ya kila siku ya wananchi wa HD. Kila baada ya episodes kadhàa kulikua na storyline mpya. Ambapo ukiingia popote ungeelewa
Haiwezi kuisha maana bado kuna issues za Sechaba hajapata umeya, hajamuoa yule binti bikira, mapenzi ya Lungi na Lincoln ndio yanaanza, Nina bado ana Lincoln, Lalage mpaka amkamate mme wake Hendrink na dada yake kuhusu mahusiano yao, Bado kuna utamu haiwezi kuishaLeo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni tamthilia ambayo hata kama hujui ilikuaje nyuma lakini unaelewa sababu kila baada ya episodes kadhaa inakisa kipya chenye kusisimua.
Nimekua nikiangalia kwa kuingia na kutoka ila toka mwaka 2013 mpaka leo inafikia tamati sijawahi kukosa hata episode moja. Kwa waliofuatilia wanaelewa nini namaanisha ilikua ni dk 20 ambazo zenye kusisimua. Timu ya Isidingo walikua updated kila tukio kubwa linalotokea duniani, Africa, au Afrika ya Kusini utakuta walishalitengezea script na kurushwa siku hiyo hiyo.
Goodbye Isidingo
Nafikiri tangu mwaka 1996 mi nilikua naiona ITV.Leo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni tamthilia ambayo hata kama hujui ilikuaje nyuma lakini unaelewa sababu kila baada ya episodes kadhaa inakisa kipya chenye kusisimua.
Nimekua nikiangalia kwa kuingia na kutoka ila toka mwaka 2013 mpaka leo inafikia tamati sijawahi kukosa hata episode moja. Kwa waliofuatilia wanaelewa nini namaanisha ilikua ni dk 20 ambazo zenye kusisimua. Timu ya Isidingo walikua updated kila tukio kubwa linalotokea duniani, Africa, au Afrika ya Kusini utakuta walishalitengezea script na kurushwa siku hiyo hiyo.
Goodbye Isidingo
Jibu hili kutoka waandaaji wenyewe- SABC3 is replacing 'Isidingo' with... repeats of 'Isidingo'
Kabla ya Isidingo, kulikuwa na Series nyingine ilikuwa inaitwa Egoli (the place of Gold). Egoli ilivyoisha ndiyo Isidingo ikaanza. Egoli ilirushwa kuanzia 1994 kipindi tu ITV ilivyoanza, nadhani mpaka mwaka 1999. Pia kwenye miaka ya 1998, kuna series nyingine ilikuja kuwa maarufu kuzidi hata Egoli, ni ya kimarekani ilikuwa inaitwa Days of our Lives. Hii bado ipo inaendekea na ilianza tangu miaka ya 1960, japo ITV walishaacha kuionyesha siku nyingi huko nyumaLeo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni tamthilia ambayo hata kama hujui ilikuaje nyuma lakini unaelewa sababu kila baada ya episodes kadhaa inakisa kipya chenye kusisimua.
Nimekua nikiangalia kwa kuingia na kutoka ila toka mwaka 2013 mpaka leo inafikia tamati sijawahi kukosa hata episode moja. Kwa waliofuatilia wanaelewa nini namaanisha ilikua ni dk 20 ambazo zenye kusisimua. Timu ya Isidingo walikua updated kila tukio kubwa linalotokea duniani, Africa, au Afrika ya Kusini utakuta walishalitengezea script na kurushwa siku hiyo hiyo.
Goodbye Isidingo
Ile ndio best soapie in AfricaWatu wanajua kutunga aisee yaani mtu kipande chake kinapoisha aka kufika mwisho inatengenezwa story ya kumuondoa. Hii iliwahi kutokea mara moja kwenye tamthilia zetu za Tanzania enzi zile ITV kulikuwa na bwana mmoja anaitwa Idd Ligongo alikuwa amepata kazi kutanga taarifa ya habari ikatengenezwa kipande cha anasafiri kwenda nje ya nchi kwa masomo ndo ikawa mwisho wake (sasa hivi nadhani yupo VOA huyu jamaa)
ITV bado inaendekea sababu kuna siku wanakua hawaonyeshi ila kama ulikua ukiifuatilia online tayari ishaisha.Haiwezi kuisha maana bado kuna issues za Sechaba hajapata umeya, hajamuoa yule binti bikira, mapenzi ya Lungi na Lincoln ndio yanaanza, Nina bado ana Lincoln, Lalage mpaka amkamate mme wake Hendrink na dada yake kuhusu mahusiano yao, Bado kuna utamu haiwezi kuisha
Egoli nilisikia jina tu nilikua mtoto enzi hizoKabla ya Isidingo, kulikuwa na Series nyingine ilikuwa inaitwa Egoli (the place of Gold). Egoli ilivyoisha ndiyo Isidingo ikaanza. Egoli ilirushwa kuanzia 1994 kipindi tu ITV ilivyoanza, nadhani mpaka mwaka 1999. Pia kwenye miaka ya 1998, kuna series nyingine ilikuja kuwa maarufu kuzidi hata Egoli, ni ya kimarekani ilikuwa inaitwa Days of our Lives. Hii bado ipo inaendekea na ilianza tangu miaka ya 1960, japo ITV walishaacha kuionyesha siku nyingi huko nyuma
Parson alirejea katika episodes chache za mwishoNilianza kuangali enzi za akina Zeb,nandipha, George zamdela,mike,pasons, kitambo sana mwishoni mwa 90's
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilianza enzi za akina l Zebedee Matabane na mke wake Agnes na watoto akina Letti na Parsons; Calvin Xavier; Barker Haines; Georgie Zamdela; Rajesh KumarNilianza kuangali enzi za akina Zeb,nandipha, George zamdela,mike,pasons, kitambo sana mwishoni mwa 90's
Sent using Jamii Forums mobile app