Hatimaye ile Taasisi inayohitaji kuombewa sana imeanza safari yake kuanguka rasmi leo

Teamubwabwa

Senior Member
Jul 7, 2015
172
59
Tayari dalili ziko wazi ule ufalme wa giza tulioushuhudia kwenye kampeni za uchaguzi mwaka huu, hatimaye umeanza kuanguka baada ya matokeo ya uchaguzi kuanza kutoka leo.

Hallelujah...
 
Wamepoteza . Maisha ya wapendwa wetu kwa kulazimisha uongozi. Tunawapongeza watanzania waliojitambua na wenye mapenzi mema na nchi yao. Mbarikiwe sana
 
Back
Top Bottom