Mwanahamisi hilo kwa Uongo balaaMagazeti yanapenda kupita na upepo huwa sipendi kuyaamini hata kidogo.
La Chawa gani hilo gazette?Magazeti yanapenda kupita na upepo huwa sipendi kuyaamini hata kidogo.
Mwanahamisi hilo kwa Uongo balaa
Mi huwa sisomi magazeti ya Udaku CCM ni utekelezaji tuu Bima kwa wote hiyo baba yako na mama yako wanatibiwa bure Katiba mpya iko njianikuizidi CCM?
nani anataka bima ya kipuuzi kama hio?Mi huwa sisomi magazeti ya Udaku CCM ni utekelezaji tuu Bima kwa wote hiyo baba yako na mama yako wanatibiwa bure Katiba mpya iko njiani
Tuliwaambia wakati wa AU summit Kombo aliambiwa ICC wanataka majibu ya summons haraka mkajifanya much know.Mwanahamisi hilo kwa Uongo balaa
wanahaha...Tuliwaambia wakati wa AU summit Kombo aliambiwa ICC wanataka majibu ya summons haraka mkajifanya much know.
Bima, referral, referral, referralnani anataka bima ya kipuuzi kama hio?
nyie machawa inawafaa na familia zenu..
Hakuna kitu nyinyi wendawazimu miaka mitano itaisha hivyo hivyo Samia anatoshaTuliwaambia wakati wa AU summit Kombo aliambiwa ICC wanataka majibu ya summons haraka mkajifanya much know.
Mama yako na baba yako we kibaka unakunwa visungura kama Heche na kuanza kutukana hovyo mitandaoni utaweza kuwahudumia watakapoanza kuugua mara miguu, pressure, Ukimwi, kisukari?nani anataka bima ya kipuuzi kama hio?
nyie machawa inawafaa na familia zenu..
Wajinga hao wanauza taharuki, SSH yupo ikulu akiwa Rais wa JMT.Magazeti yanapenda kupita na upepo huwa sipendi kuyaamini hata kidogo.
Muda wake umefika ukingoni, huwezi kuua wananchi wako dunia ikabaki kukutizama tu.Wajinga hao wanauza taharuki, SSH yupo ikulu akiwa Rais wa JMT.
Muda wake umefika ukingoni, huwezi kuua wananchi wako dunia ikabaki kukutizama tu.
Muda wake umefika ukingoni, huwezi kuua wananchi wako dunia ikabaki kukutizama tu.
, Wahuni wachome nchi halafu vyombo vya ulinzi viwaachie tu?, endeleeni kujazana ujinga kwenye hizo media zinazoandika udaku.
ICC hawaji Tanzania kama wewe unavyokwenda ferry kununua samaki, wanazo taratibu zao za kazi.Muda wake umefika ukingoni, huwezi kuua wananchi wako dunia ikabaki kukutizama tu.
Sisi kazi yetu ni nyepesi sana kuwaletea ujumbe, kazi yenu kubwa mliyonayo ni kukanusha.ICC hawaji Tanzania kama wewe unavyokwenda ferry kununua samaki, wanazo taratibu zao za kazi.
Jifunzeni kuheshimu dola hamuwezi kuleta ujinga halafu mkaendelea kuchekewa,.
Mamlaka ya nchi lazima yaheshimike kwa raia wote.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake.Mwanahamisi hilo kwa Uongo balaa
Humu kumejaa ujinga mwingi sana sababu wengi humu wapumbavupumbavuICC hawaji Tanzania kama wewe unavyokwenda ferry kununua samaki, wanazo taratibu zao za kazi.
Jifunzeni kuheshimu dola hamuwezi kuleta ujinga halafu mkaendelea kuchekewa,.
Mamlaka ya nchi lazima yaheshimike kwa raia wote.