Yaani mi mtu akiandika kwa herufi kubwa, naonaga kama wale matapeli wa ile hela tuma kwenye namba hii jina litakuja Paula Kajala au wale wa Karibu jiunge na 666 Friimasoni.