MR. MORRIS T. J.
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 1,167
- 402
ndio mdudu gani huyo! Fafanua si wote tunamfahamu.Kila goti litapigwa mbele ya c.c.m, hatimae bwana mdogo tuliyesoma nae shule moja gwakisa mwakasendo amesalimisha maisha yake kwa c.c.m. Sijampata kumuuliza kapokea ngapi? Lakini ameahidiwa kupewa jimbo la mbeya kwa sugu agombee ili amtoe sugu. Ngoja tusubiri.
Nawachukia Ccm basi tu
Kila goti litapigwa mbele ya CCM, hatimaye bwana mdogo tuliyesoma nae shule moja Gwakisa Mwakasendo amesalimisha maisha yake kwa CCM.
Sijampata kumuuliza kapokea ngapi? Lakini ameahidiwa kupewa jimbo la Mbeya kwa Sugu agombee ili amtoe Sugu. Ngoja tusubiri.

.....ombaomba wangeendesha.Matamanio yangekua farasi....!
Kaka wewe ulipohamia ACT ulipewa ngapi vile nimesahu tukumbushe tena.Kila goti litapigwa mbele ya CCM, hatimaye bwana mdogo tuliyesoma nae shule moja Gwakisa Mwakasendo amesalimisha maisha yake kwa CCM.
Sijampata kumuuliza kapokea ngapi? Lakini ameahidiwa kupewa jimbo la Mbeya kwa Sugu agombee ili amtoe Sugu. Ngoja tusubiri.
Mzee aliyejipenyeza kwa vijana wakamstukia pole ndugu jikite sasa kwa wazee uchaguzi ujao uchukue uenyekiti wa wazee.Matamanio yangekua farasi....!
Matamanio yangekua farasi....!