C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 315
- 481
Civilian Coin, aka mwl Deo Kisandu. Kahama mojaDeo kisandu umekuja na gazet la kimombo Mungu abariki kaz ya mikono yako
Ukiandika masuala ya Tanzania unaweza kufungiwa wakati wowote.Different colors, The same toilet papers.
Umekosa Cha kuandika Tanzania nzima ndiyo uandike ya Iran na South Africa?
Ni kweli, na uandishi wao wa kichawa umewamaliza kabisa.Social media zimeua haya magazeti.
Project tayari as per Polepole
Wapo huko kwenye mifumoHivi kuna watu bado wanasoma magazeti nchi hii ?
Sawa.Wapo huko kwenye mifumo
Mkuu, Civilian Coin huyo.Sawa. Lakini muwe mnaandika taarifa za kuelimisha jamii. Na sio umbeya mtaua biashara.
Mwamba mbishi sanaMkuu, Civilian Coin huyo.
Sema sasa afuate utaratibu asije rudishwa lupango maana mwanetu yeye anapendaga afanye chochote kile ambacho akili itamtuma .Mwamba mbishi sana
Namkubali mwanangu kisandu
Ova